Mkuu,takukuru tena!
Suala la madhabahu huisha kimadhabahu.
Kikanisa hakuna kosa ila ni dhambi ya wizi(usiibe) na pia ni dhambi ya kutamani (rejea amri kumi za Mungu) mali.
Ni kupiga maombi ya kushitakia kwa Mungu ndio yatafaa
Tujilaumu sisi waswahili ubongo wetu unachelewa kutafakari jambo,kwa kauli ile maandamano yalitakiwa yaanzie pale pale kudai ndugu zetu ambao hawajulikani walipo,kwa sababu kuna watu wamepotea akiwa ni Mkuu wa mkoa.
Sidhani kama amekosea, kupotea kwa Mdude lawama zilienda moja kwa moja kwa Mkuu wa mkoa,ushahidi wa tuhuma hizo haukuwepo. Chalamila kasimama hadharani na kutamka yale yale aliyo tuhumiwa nayo Mkuu wa mkoa mwingine dhidi ya Mdude, maana yake ametuweka wazi kuwa wana mamlaka ya kupoteza watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.