realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,383
Jamani dada ungesubiri atumie kidogo šoooh!!!! nimeelewa.
Binti yangu aliniletea upuuzi huo wa ku glow akaja na product sizikuzielewa nikampiga mkwala,, nikamwambia humu tunatumia clear essence tu.
akianza kujihudumia ndio ataingia huko