Recent content by Amosy09

  1. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Wanajukwaa habari kuna hii chuma audi a3 2012

    Mwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji. AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho
  2. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    #5000
  3. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Vimefika viwili sa hzi vinakela balaaa
  4. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Nimefanikiwa kuongeza lakini hyo taa bado inawaka vilevile mkuu
  5. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Saw mkuu nashukuru mkuu
  6. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Hapo naongeza au nabadilisha mkuu
  7. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Pikpiki yang nkiwasha inaonyesha alama nyekundu picha yake hapo chini hii alama kila ninapoiwasha hali ambayo mwanzo haikuwepo naombeni msaada wa kujua kama kuna kitu kimeharibika ama service ya aina gan inahitajika hapa Alama ni hyo nyekundu kushoto
  8. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za honda zinauzwa

    Ipo mkuu hyo honda
  9. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuishiwa nauli katika mishemishe tukutane hapa tuelezee tulifanyaje tukapata nauli

    Sijui kama ni wewe japo sikumbuki vizuri kuna jamaa alikuwa kabeba bag akaniomba nauli kapungukiwa nkampa buku tuliomba chenji kwa muuza machungwa na alinikuta naongea na simu
  10. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Ijue human cloning

    Sehem ya kwanza : [emoji117]Kabla ya yote napenda kwanza kumshukuru MUNGU kwa kunifanya niwe salama mpaka sasa,pia nina imani nyie pia mpo salama vilevile na tuendelee kumwomba MUNGU asimame mbele yetu siku zote za maisha yetu. Leo nimekuja kushare nanyi elimu kidogo inayo husu "humani...
  11. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Nina tatzo la kuwashwa kwenye ngozi na baada ya siku kama mbili nikijikuna inanitokea hali hii naombeni msaada kujua tatzo

    Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai. Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye picha
  12. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Mgodi umetitia gasuma mkoani Simiyu

    Breaking news: kunataarifa kutoka mkoani Simiyu zinadai Mgodi wa madini wa Gasuma umetitia na ndani kulikuwa na watu wakiendelea na uchimbaji hivyo kama una ndugu yako fanya kujua hali yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum Tukumbushane kidogo nyimbo iliyokuvutia toka kwa Oliver Mutukudzi

    Kwanza R.I.P regend miaka 66 Albums 58 Single 696 Ukiwa tajiri no 2 Africa kwa wasanii NERIA, TODI na MIMI NI MIMI ukiwa na Malkia Ladjaydee pembeni bila kusahau ile movie pendwa ya NERIA na JIT Aisee mpaka leo nakupa salute. Fanyeni kam unatupia wanasemaga challange yako[emoji28][emoji28]...
  14. Amosy09

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanamke unayetakiwa kuwa makini naye

    Kabla hujaanza kumchunga mwanamke, jiulize kipindi yupo kwao aliwezaje kuonana na wewe na bila ya wazazi wake kujua!? Aliwezaje kutumia muda wa kuonana na wewe na kufanya yenu na aliwezaje kufanya alichoagizwa kwao kwa muda mwafaka? Kama umepata jibu baki nalo Mwanamke hachungwi kama mbuz au...
Back
Top Bottom