Nina tatzo la kuwashwa kwenye ngozi na baada ya siku kama mbili nikijikuna inanitokea hali hii naombeni msaada kujua tatzo

Amosy09

Senior Member
Joined
May 30, 2018
Messages
139
Points
250

Amosy09

Senior Member
Joined May 30, 2018
139 250
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye picha
20190819_180845.jpeg
20190819_180842.jpeg
 

jabir paulah

Member
Joined
Aug 14, 2019
Messages
6
Points
95

jabir paulah

Member
Joined Aug 14, 2019
6 95
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Picha znajionesha tatzo linalonikabili ni hili hapo kwenye pichaView attachment 1185412View attachment 1185413
#Dawa ya ngozi iliyo kua kwenye mfumo wa sabuni kiboko ya chunusi sugu na mabaka

Aloe soap sabuni za mimea,asali,mchai chai na mafuta ambazo zimetengenezwa katka maabara na kuthibitishwa Nchin China na TFDA hufanya kazi nying na za maajabu.

_ KUONDOA CHUNUSI SUGU NA MADOA YALIYOSHINDIKANA.,
hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua ktka ngozi na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunus zisizokwisha.

_HUTUMIKA KUSHEVIA NA KUONDOA HARUFU MBAYA YA JASHO KALI (kikwapa)
ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, na huyaponya yote kama tayari yalishatokea, hufanya mwili kuwa mwepesi zaid kwa kuondoa jasho Kali La kikwapa.

_HUONDOA WEUSI MAKWAPAN NA SEHEMU ZA SIRI.,
Huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendeza ikibaki na asili yake

_HUONDOA MIKUNYANZ NA KUZUIA HALI YA MIDOMO KUPASUKA.
hupambana na hali ya ngoz kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu katka ngoz kwa kuondoa mikunjo mikunjo

_HUTIBU FANGASI ZA MIGUU NA MAGAGA.
huripea ngozi iliyofubaa kwa kuondoa magaga madogo madogo na fangasi za miguu kwa wale wanaovaa viatu kwa muda mrefu.

_HUTIBU M,BA MAPUNYE NA UTANGATANGA._ inafaa sana kwa watoto wenye mapunye, inayatibu na kuimarisha ngozi zao kwani ni tofaut na sabun za kawaida, hali kadhalika hutumika kuoshea nywele kwa wenye m,ba kichwani na kuondoa utangatanga kwa jinsia zote.

_TUMIA KWA ULINZI TOSHA WA NGOZ YAKO.
pia unaweza kuitumia hata kama hauna tatizo lolote, kwani ni tofauti kabisa na sabuni nyingine., huondoa hali ya miwasho ya ajabu ajabu.

NB; Hi ni Afya! na povu lake pia huondoa sumu mwilin na kung'arisha ngozi yako, haina kemikal 100% haichubui ni ya asili, hutumiwa na wote,bei ni sawa na bure pic tatu 25,000 piga simu/WhatsApp Link
wa.me/255653216061

Call me via 0653216061 #Tunapunguzo pia kwa wenye maduka au Wanaohitaji kuwa mawakala wetu hapa D'salaam na mikoani pia.
IMG-20190804-WA0034.jpeg
 

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
3,535
Points
2,000

Samcezar

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
3,535 2,000
Nahisi una eczema..... Ila nenda kacheki hospital maana hainaga tiba wala kinga ila huwa inaisha yenyewe kianzia miaka 25 kwenda mbele
 

Forum statistics

Threads 1,364,552
Members 520,767
Posts 33,319,853
Top