hata mimi walinipigia simu na nilisharipoti, wameniambia nisubiri... Juzi nilianda kuulizia progress wakasema wanafanya mchakato wa malipo ya kujikimu, kuanzia mwezi ujao watatuita kuanza kaz
Nakubaliana nawe 100% maana hawa jamaa(zanzibar) wanatunyonya tu unakuta mbunge wao anawakilisha watu 300 analipwa posho sawa na mbunge wa bara ambaye ana watu 500,000. Afo chanzo cha posho hizo ni TZ bara.. Hata ukiangalia nchi ya population ya watu ni zaid ya mara 35 ya ile ya bara afu wanadai...
mi nilipigiwa simu kwaajili ya kazi tangu 12 december, wakasema watatutumia barua lakini mpaka leo barua haijafika, mi nipo mwanza... Mwenye taarifa zaidi.....
kwa staili hii tutafika kweli?? Inatia ushungu sana specifically kwa sisi walala hoi, kuna haja ya kumuweka wazi huyo aliyefanya hivyo, ili tumjue mbaya wetu....!!
Scan barua yenye SIGNATURE, afu iedit, then crop SIGNATURE pekee, then save, then unaweza ukawa unatumia hiyo SIGNATURE kwa any application letter kwa copy and paste sehemu ya signature kwenye barua yako.
Unaweza ukaiconverting barua hiyo to pdf format, then ready to be used
MI HUWA NAFANYA...
hata mimi nimejaribu kutumia hiyo 7 Loader, imegoma. Lkn nimepata program fulan kwa jamaa hapa inaitwa REMOVE MAT, ndo imefanikisha kuondoa hiyo message ya "this copy is not genuine", sina ujuzi nayo sana lkn jamaa anadai inavuta PC Registry, afu baadaye PC inarudi in Normal. TAFADHARI YEYOTE...
Dah, hawa jamaa kwakweli ni balaa..!!, kufanya written Interview walikuwa wanaita majina, only shortlisted people. Kwa wale mamluki hawakupata nafasi ya kuingia. Na wenye GPA kuanzia 3.9 and above ndo waliokuwa shortlisted, kwaajili ya written interview. Ingawa kuna baadhi walikuwa na sifa kama...
Nimeipenda sana, ni jambo la kujifunza maana huyu Hamad alikuwa hana spidi gavana ya mdomo, muongea ovyo juu ya chama chake tena hadharani, badala ya kuongelea kwenye vikao vya chama
Jaman naomba mnijuze kwa yeyote mwenye taarifa, kuhusu zile tempo za NHIF, tulizofanyia Interview pale Kurasini - Ukumbi wa baraza la maaskofu, maana It's almost a month now tangu tufanye hiyo interview......!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.