mama wa wili
Member
- Jun 10, 2014
- 40
- 6
Kwa alie pangiwa kazi katika ofisi hii naombakujua kinachoendelea, maana mi waliniambia watanipigia simu ila hadi leo bado hawajapiga.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.
Naomba kufahamu kwa yanayojiri.