TRA- Short list for aral interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA- Short list for aral interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SOKETI, Mar 27, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hatimaye mchakato wa kuchagua watakao ingia kwenye oral interview umekamilika, ni baada ya matokeo ya mitihani iliyo fanyika jana hasubuhi/saa mbili na nusu. Hapa vimemo vipi?
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Dah,
  Kwa hiyo wanachukua wangapi?
  Hii kazi wiki moja tu unakuwa bilionea kwa jinsi ilivyo kaa kimagendo gendo
   
 3. T

  Tafakuru Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  watafungwa wa2 apa adi tushangae,,,tujihadharini vijana wenzangu kwa wataofanikiwa kupata izi nafas
   
 4. a

  amojokatani Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dah, hawa jamaa kwakweli ni balaa..!!, kufanya written Interview walikuwa wanaita majina, only shortlisted people. Kwa wale mamluki hawakupata nafasi ya kuingia. Na wenye GPA kuanzia 3.9 and above ndo waliokuwa shortlisted, kwaajili ya written interview. Ingawa kuna baadhi walikuwa na sifa kama hizo na waliapply lkn hawakuitwa.
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unaeleweka kwa shida mkuu siku nyingine jitahidi kupitia kabla uja post.

   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Majina washayatoa ?
   
 7. b

  bien Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Still naikumbuka interview ya arusha tech college.Kwa nafasi ya tutorial assistant waliita watu,then wakaanza na written,cha kushangaza watu waliambiwa wasifanye hiyo interview cause walikuwa hawana certificate ya chuo.Sasa,nlijiuliza vipi walisholisti watu kwa kutumia transcript,didn't they know it be4?4 ril,hiki chuo ni cha ubabaishaji sana,they are not serious.How could they shortlist 150 people 4 only 10 post,na kati ya hizo 10 posts walikuwa na watu wao!Wamesumbua sana watu,i hated that,sio uungwana ule.
   
 8. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuu!!! Kweli mwaka huu mdogo wangu anaweza kuanza kuugua Pressure..Ina maana hawa jamaaa wa TRA wameshaita na zile kazi nyingine au wamesema kwanza na jamaa wa CUSTOMS....maana dogo langu linasubiri hatma yake ya TRA haijui hata ya NSSF maana mpaka sasa hakuna hata beep na simu yake kutwa kwenye charge ili wasije sema walimkosa...Kweli hata Kazi yenyewe kuipata ni KAZI
   
 9. mamLook

  mamLook Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  waungwana hizi ni post zipi?

  kuna mtu anaweza kuzitaja hapa


  all the best
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ngojeeni na sarakasi.
   
Loading...