Msaada kwenye kutuma maombi kwa njia ya barua pepe

prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
190
Wakuu, jamani wanaposema wanataka utume maombi ya kazi kwa njia ya barua pepe, hivi unapoandika barua ya maombi (cover letter) ile sehemu ya kusign mm mwombaji unaacha au una iprint halafu unasign then unaiscan. Msaada kwa wale wenye uzoefu
 
Wakuu mnataka kuniambia hakuna aliyewahi kuomba kazi kwa njia ya mtandao/internet?
 
Mkuu mimi huwa naandika tu jina na nimeitwa Interview kadhaa hivi so haina shida andika2 utume mkuu kama ipo ipo2
 
@parakatatumba , avatar yako inatisha, badili vatar yako, labda ndio maana hata response ya kujibiwa imekuwa hivyo!
 
Ukishaandika jina lako juu yake andika haya maneno: SGD. Ukiona hofu imekutanda, basi iandike kwa mkono halafu isaini baada ya hapo ui-scan halafu itume. Kama vipi tuma kwa mkono.

Note: Kama unaomb kazi serikalini, hiyo biashar ya kutuma kwa njia ya net sahau mkuu, tuma manually!
 
SGD what does it stands for?
Ukishaandika jina lako juu yake andika haya maneno: SGD. Ukiona hofu imekutanda, basi iandike kwa mkono halafu isaini baada ya hapo ui-scan halafu itume. Kama vipi tuma kwa mkono.

Note: Kama unaomb kazi serikalini, hiyo biashar ya kutuma kwa njia ya net sahau mkuu, tuma manually!
 
Scan barua yenye SIGNATURE, afu iedit, then crop SIGNATURE pekee, then save, then unaweza ukawa unatumia hiyo SIGNATURE kwa any application letter kwa copy and paste sehemu ya signature kwenye barua yako.

Unaweza ukaiconverting barua hiyo to pdf format, then ready to be used

MI HUWA NAFANYA HIVYO KWENYE BARUA ZANGU
 
Bonge la idea aisee,shukrani xana mkuu
Scan barua yenye SIGNATURE, afu iedit, then crop SIGNATURE pekee, then save, then unaweza ukawa unatumia hiyo SIGNATURE kwa any application letter kwa copy and paste sehemu ya signature kwenye barua yako.

Unaweza ukaiconverting barua hiyo to pdf format, then ready to be used

MI HUWA NAFANYA HIVYO KWENYE BARUA ZANGU
 
Andika jina hiyo inatosha, mambo yote mengine yanategemea na mpokeaji anatumia nini, email client nyingi zitaficha picha.

Ni vizuri pia kuiweka barua yako kwenye pdf ila hakikisha mpokeaji yupo tayari kupokea pdf na attachments.
So hata ukiweka pdf ni vizuri kuweka plain text kwenye barua yenyewe kama haujui mpokeaji anaweza kufungua pdf.
 
Back
Top Bottom