Vp NHIF mbona kimya ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vp NHIF mbona kimya ?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by amojokatani, Dec 2, 2011.

 1. a

  amojokatani Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jaman naomba mnijuze kwa yeyote mwenye taarifa, kuhusu zile tempo za NHIF, tulizofanyia Interview pale Kurasini - Ukumbi wa baraza la maaskofu, maana It's almost a month now tangu tufanye hiyo interview......!!
   
 2. t

  thesolomon Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah kaka ukiona manjoya jua ameliwa ,we vuta subra lakini!!!!!!!!!!!!!
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  we bado unawazia hizo? Endelea na mambo yako tu.
   
 4. c

  christer Senior Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nafasi hizi zilikuwa na malumbano jinsi ya kupata watu.sasa sijui wataendeleza utaratibu au technical know who?
   
Loading...