ipo California, sebule, jiko, stoo, vyumba viwili chini, master na chumba cha watoto juu, nyumba ya uwani ina garage, vyumba viwili na ofisi. nyumba zimeunganishwa na outdoor living ya kisasa, fully furnished. $800K, kama ni mnunuzi njoo PM.
Naiuza ili nijenge nyingine. Wanaoulizaga maswali ya...