mkuu mimi naweza kukupa zingine 720p, 1080 blueray na 3d bure kabisa ili ukuze biashara yako nipo dar, mpaka sasa nina kama tl 3 za movie na series ndio usiseme, zinazoendelea na zilizokamilika.....mimi nakupa bure kabisa.
mbona hamjawahi kufungua thread ya kutangaza that mnagawa movie bure....acheni unafiki jamani