FastJet please fly to Mbeya as well, Precisionair is over crowded and can not meet the demand!

engineerm

Senior Member
Aug 30, 2011
106
19
Sijui kwanini hawa fastjet hawataki kuanzisha safari za Mbeya, maana wamewaachia precision air pekeyao ambao sasa bei zao za kwenda Mbeya zimefikia 310,000 tofauti kabisa na bei wanayoitangaza ya 249,000.

Please fastjet njooni mlete upinzani kwa huyu precision air
If it happen you have an emergency and you need to travel in let say 3 days to come you can not get a ticket because the bookings are full for up to 2 weeks ahead. The number of passengers is big to the extent that the current operator can not serve them all. Bearing in mind that the plane they use is not that big to meet the demand and the route(round trip) is only one per day.

May I urge Precissionair authorities to take this challenge into consideration and increase at least the number of trips to Mbeya up to at least 3 per day. The current single trip it serves only few. Many people prefer to travel by air but getting a ticket at the required time of your trip is an issue. You get it for the period which does not meet your demand for that particular journey.

So Fastjet may I call upon for your help..please come to Mbeya at least one per day.
 
Sijui kwanini hawa fastjet hawataki kuanzisha safari za Mbeya,maana wamewaachia precision air pekeyao ambao sasa bei zao za kwenda Mbeya zimefikia 310000 tofauti kabisa na bei wanayoitangaza ya 249000.Please fastjet njooni mlete upinzani kwa huyu precision air
Je, hizo bei hapo juu ni ONE WAY au nakurudi?
 
Nauli ya Precision inategemea na ticket ngapi zimebaki. Mimi niliwahi kukata sh. 474,000 return ticket. Nafikiri Fast Jet wanasubiri mamlaka ya viwanja vya ndege wapate aviation fuel depot pale airport ndo ndege nyingine zianze kuruka. Kwa kweli Precision wanatupiga pakubwa.
 
Mkuu kwa uelewa wangu fast jet hataweza kwenda mbeya sababu hakuna mafuta , ni jukumu la mamlaka husika kutafuta usafiri wa mafuta hayo kwa njia ya barabara ili ndege ziwe zinajaza mafuta zikifika mbeya.Ni gharama sana kubeba mafuta ya kwenda na kurudi kwa kutumia ndege kutokana na uzito wa mafuta. Fast jet wanaepuka hilo.
 
If it happen you have an emergency and you need to travel in let say 3 days to come you can not get a ticket because the bookings are full for up to 2 weeks ahead. The number of passengers is big to the extent that the current operator can not serve them all. Bearing in mind that the plane they use is not that big to meet the demand and the route(round trip) is only one per day.

May I urge Precissionair authorities to take this challenge into consideration and increase at least the number of trips to Mbeya up to at least 3 per day. The current single trip it serves only few. Many people prefer to travel by air but getting a ticket at the required time of your trip is an issue. You get it for the period which does not meet your demand for that particular journey.

So Fastjet may I call upon for your help..please come to Mbeya at least one per day.
 
ni kweli mkuu bora fast jet waje kutupa huduma na huku labda nauli zitashuka kidogo
 
Mpaka ukarabati wa uwanja uishe ule mdege wao si unajua ni mkubwa!
 
Sugu badala ya kufikiria mambo kama haya, yeye akili yake imeishia kwenye kugombania jina la uwanja!!!
 
Sugu badala ya kufikiria mambo kama haya, yeye akili yake imeishia kwenye kugombania jina la uwanja!!!
Hahahaha ah mkuu umenichekesha apo... Kwaiyo jamaa kumbe anakaa anagombania jina la uwanja wa ndege?? Dah! Kazi kweli kweli.... Ndo wasanii bana
 
Tatizo fastjet wanaoperate under swisport na mbeya swisport hawajafika. So ni kuwaomba fastjet waoperate wenyewe na wafungue ofisi zao mbeya. Vinginevyo tumia ndege ndogo za mwanzo. Auric or flightlink. Au waombeni atc waanze kwenda.
 
Sugu badala ya kufikiria mambo kama haya, yeye akili yake imeishia kwenye kugombania jina la uwanja!!!
Watoto wa siku izi wanasema umedandia treni kwa mbele.
Mkoa ndo umeunda kamati ambayo ndo inakusanya maoni juu ya jina la uwanja so SUGU kama mdau ndo akaamua alalamike.
Kwa hoja yako wa kuwalaumu ni hao wenye kamati sio Sugu.
 
"Mbeya is currently undergoing a huge improvement programme to allow large air crafts like ours to land safely. Do keep checking back for updates on new routes coming soon, and thank you for your patience."
Hayo ndio majibu ya fastjet nilipowatumia email.
 
Bei za Precion ni kubwa mno, fastjet na atc waanzishe safari za huko, kuna soko kubwa sana kule
 
Back
Top Bottom