Recent content by Ammy Emmy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Aseee preta umemsaidia sana hii dawa ilinitibu mim nilikua natisha.af sas ukitumia zikiisha ndo kwa heri hazirud tenaaa...ila mim nilimeza na vidonge nilivyopewa aghakan nimevisahau..yani niliteseka toka la saba hadi form six ikanilazimu kwenda aghakan kuonana na mtaalam wa ngoz kwa kweli saiv...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    Hapo kwenye kyumbo ssa loo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    Asiekubali wachaga tuko juu lazma ana mtindio wa ubongoo..ona vitu af sasa hamjaona kulivyo na majumba mazuri
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifahamu sifa bora kuliko zote ya mwanamke anayetakiwa kuoa!

    Hapa ndo napokupendeaga
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

    Mmesahau kosa lingine la wanaume kunuka miguu na mdomo
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

    wew ni mbulula ulitaka watiane mbele yako ndo uamin..?hiv kumbe kuna wanawake matambacha hivi?sas ushauri wa nin si uachane na huyo malaya? hapo ni mbele yako kashindwa kujizuia usingekuepo si angeomba waende gesti?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    duh...hii din kila siku napigwa nan sababu yake..kiufupi waislamu wengi waishukuru u.n na america kwa kutetea haki zao
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nasikitika, lakini sikuwa na jinsi

    vipi rafki kua tu muwazii huyo alshabaab ana mvutooo?ni mzuri sanaa?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mikoa Tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT

    we mwehu kweli unaishi dunia hii kweli?we hujui dar imeongoza kwa sababu ya wachaga?kila penye mchaga ndo penye maendeleo...kwa hyo ww cheza na wachaga utalala njaa mkuu..utadeki bahari kwa ulimii
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ambayo hayapaswi kufanywa na WANAWAKE hadharani....!

    hivi mnajadili upuuzi gani wangese nyie?wote wanaompa sapoti mleta mada wanapruv ufinyu wao wa akili....
  11. A

    JamiiForums Tanzania Walimu wa vyuo vikuu wapunguziwe mamlaka kwa wanafunzi wanao wafundisha

    we kinachokushinda kutaja mzumbe ni nini? nyie wanafunzi ndo mlikua vihereehere. na habari yako umeipindisha kuficha ukweli..tatizo lenu weng LLB mlikua mnakesha na kushinda bar halafu mnalazimisha kupata A nani aliwaambia mzumbe ni casino?
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuisome hii topic pia anataka lakini anaogopa nimfanyeje.

    huyu mpuuzi tu hana lolote af hapo utakuta kibamia lakin anajisifu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kujifunza uchawi!!!

    mbona mambo mengii ya kichawi yanafanana sana na yanahusiana moja kwa moja na dini ileee ya kujitoa mhanga na ugaidi?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nikikutana mh jk nitasema haya.

    nimeipenda sana hii mi ningempiga na viatu
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Mleta mada ana mtindio wa ubongo...inakuaje mtu unadhalilisha wanawake kisa maumbile yao?huna point ya msingi....mbona hujazungumzia wanaume wafupi?
Back
Top Bottom