Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

napata mashaka na hii hadithi yako Sista
 
Last edited by a moderator:
dada usijal tu ni kazi za nje cha kumshauri mwambie asiache kutumia kinga. wakati unampa hayo maelezo lazima muwe kwenye mood nzuri ili yeye achukulie utani huku ujumbe unafika sawa mamy. wanawake wengi tunajidanganya tupo wenyewe ni wachache wenye bahati hiyo wengi tupo watatu watano ila muhimu ni kujali afya yake kama umeshapewa nafasi ya mke.

umenikumbusha kuna sikuu nlimwambia mr ukienda mech za ugenini usisahau kinga tukacheka sana,ila baadae aliniuliza kwa nn nlimwambia vile...wanaume hawa ukitaka kumfunga kamba kila siku utavurugwa..just free your soul&mind
 
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii

sista sasa kama hiyo namba ya mrembo umeiona jana,mbona umeandika tena"kuanzia siku hiyo"
anyway pia muda wa uchumba n mfup sana labda kama mlkua marafik wa kawaida kipind cha nyuma...
 
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii

shigongo at work
 
Hahahaha...!! SISTER kichwa cha habari chanyewe kinachekesha 'kuvurugwa', halafu story yako umeitunga ukiwa na haraka sana mkuu.hadi wenyewe wamekustukia. Ishu ya jana imekuwa tangia siku hiyo.....au umegawa masaa yakawa siku?....ndo ukawa unakutana nae na kuona jinsi huyo mrembo anavyohangaika kumpigia mchumba wako simu.!!... Anyway uchumba wa miezi 2.utauziwa mbuzi kwene gunia.
 
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii

Nime-edit quote yako kupunguza byte nisiwachoshe MMU na kuclog net...
Hebu angalia hapo kwenye kolezo mbona story yako imekaa ki-artficial sana?Unasema ni jana mmetoka naye...halafu leo just after one nite unatuambia kuanzia siku hiyo hapo ndo nnapochoka kabisa.
Ila niseme tu hujavurugwa kwani ukiona aliyevurugwa kajijua jua ameshaanza kutoka ktk hali hiyo..Au kwa msemo mwingine ila sina maana hii... ukiona kichaa kajitambua ni kichaa basi ujue kaanza kupona/kapona.

cc gfsonwin,PLL,Carter,Shansarie
 
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii

Aaagh hii stori mbofumbofu kabisa hakuna mwanaume anayeweza kuonyesha ulimbukeni wa ghafla kihivyo labda awe anakaribia kuokota makopo
 
usifungwe nira pamoja na asiye amini!
 
wew ni mbulula ulitaka watiane mbele yako ndo uamin..?hiv kumbe kuna wanawake matambacha hivi?sas ushauri wa nin si uachane na huyo malaya? hapo ni mbele yako kashindwa kujizuia usingekuepo si angeomba waende gesti?
 
mmmhh hakuna uhalisia wa hii story! ya kutunga au bongo movie.
 
Me memiss wewe! Sista moyo wako unasemaje? Kama bado umewasha taa za kijani kila la kheri,kama hazard act now before its too late ukaja omba ushauri kuhusu michango ya watu na zawadi za kitchen party

Mi natamani ndoa nimewasha taa ya kijani ila huyu mchumba ndio ananipa mawazo
 
Last edited by a moderator:
...umetunga story...unasema jana...mara tena kuanzia iku hiyo....????ivi kibongo bongo ni rahisi hivyo mtu upande nae dala dala atongoze mtu mwingine mbele yako...??? anabipiwa muda mfupi baadee ...anakupa nauli urudi nyumbani akautane na mwanamke aliye mtongoza mbele yako..........HAYA MABO YA KUANGALIA FILAMU ZA AKINA MAMA MUSHKA HIZI...

Kiswahili jamani kigumu, tupeane fursa humu tufundishane nahau na sentensi
 
umenikumbusha kuna sikuu nlimwambia mr ukienda mech za ugenini usisahau kinga tukacheka sana,ila baadae aliniuliza kwa nn nlimwambia vile...wanaume hawa ukitaka kumfunga kamba kila siku utavurugwa..just free your soul&mind

hiyo safi alafu hivyo unampa wakati mgumu sana wa kujiuliza kwa nini ananiacha free anipendi au? angalizo usijisahau kuna wengine hawana aibu anaweza lete hadi nyumbani hapo itakuwa haijakaa sawa..
 
Yaani majibu unayo kua jamaa hakufai atakupa stress tu ila bado unavumilia,ila mlikua fasta yan week mbili tu posa tayar jaman,hakuna hata kuchunguzana....sasa hiyo ni ndan ya week mbili kakufanyia hizo dharau mkifikisha mwaka hali yako itakua mbaya sana rafiki,bora ukimbie...pia usisahau matumizi ya ndom utakapokutana nae maana c wa kuaminika huyo.
Hizo ni dharau..nawe unamoyo umepga kmya hata kumchimba biti kidogo au ndo kubembeleza ndoa?

process za civics form two..

friendship..

courtship...

marriage...

family...

sasa sijui wawili hawa wameruka step jamani!

mbona couples nyingine unakuta zinadumu kwenye friendship angalau miaka miwili? then inakuja courtship, then mnaona mnajenga family!

sasa ninyi mnafanya vitu vyoote kwa mwezi mmoja!!!
 
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii
au nimeelewa vibaya hapo kwenye red? ilikuwa ni jana lakini tena kuanzia siku hiyo, so inamaana ni muda mrefu au...?
 
Sista mechekesha sana mimi wallah na hii strori yako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom