Recent content by Amedeus G

  1. Amedeus G

    Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

    Ingekuwa amri yangu ningemuosesha Mange kwa Gwajima bila mahari kabisa
  2. Amedeus G

    Je, ni kweli haya anayoniambia mchumba wangu?

    Vitu vingine mnasababisha wenyewe then mnaona mnakosewa I think una kamuda karefu na huyo mchumba mnafanya chating ili kuimarisha mahusiano lakini ulisahau kuna vijimaneno unavyomwambia vya kumtia nyege huku ukimwaacha hewani sasa kwa hilo hupaswi kumlaumu bali jilaumu mwenyewe
  3. Amedeus G

    Neno Oppa lina maana gani?

    Lina maana ya kaka ila ni mwanamke ndie anayetimia oppa tu
  4. Amedeus G

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Mmh naona akili zako ziko likizo mkuu yawezekana ikawa nawe ni mwalimu wa mwendokasi
  5. Amedeus G

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Na alaaniwe alaanie acha Mungu afanye kazi yake wewe povu la Nini?
  6. Amedeus G

    Matapeli wakubwa 5 kuwahi kutokea Tanzania

    Hawa ni wastaafu je waliokazini mbona huwataji tuepukane nao au unangoja tulizwe kwanza mkuu?
  7. Amedeus G

    Kanusho la uzushi kuhusu kifo cha Ndesamburo

    Hawa wanaomzushia kifo Ndesamburo hawajajifunza tu kwa kilichomkuta marehemu mchungaji a.k.a dalali wa Siasa?
  8. Amedeus G

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Je nabii bendera vip? au bado Mungu hajakufunulia mkuu
  9. Amedeus G

    Serikali imepata ugonjwa mbaya

    Mkuu umemshtua usingemtaja kesho ungesikia akitoa tamko
  10. Amedeus G

    Sema chochote ''Kinachosadikika''

    Inasadikika binadam wa kwanza alikuwa mmakonde
  11. Amedeus G

    Msaada wa neno AIRPORT kwa kiswahili tafadhali

    Sio kila Juma ana ndevu, namaanisha sio kila neno la kiingereza lina neno la kujitegemea kwa kiswahili.
  12. Amedeus G

    Mjamzito ajifungulia kwenye korido Baada ya Wauguzi Kugoma Kumsaidia

    Inamaana wauguzi wote walipewa likizo kwa wakati mmoja
  13. Amedeus G

    Kwanini Gavana Prof Ndulu anapaswa kujiuzulu?

    Kwa hali hii ya vigisuvigisu watanzania
Back
Top Bottom