Neno Oppa lina maana gani?

Neno Oppa lina maana gani?

hizo zote nimeziona mkuu kasoro hy ya she has fallen 4 me cjaiona mpk mwisho, na hy high doctor ndo ile ya lee min ho{faith the great doctor}Km n hy nshaiona.Yan me hz drama kwakweli nazipenda sn.Nimekua addict aisee.

kaangalie ( unchained love mm niliipenda sina mfano yaan utam wake ni kama wa boyz b4 flowers, nyingine angalia who a u, nyingine,a man called God.
 
ntazicheki mkuu.Vp umeziona cunning single lady? bride of the century dream high 1&2?,marriage nt dating na birth of a beauty? hz nazo me nazipenda htr!
 
Oppa ni neno analotumia msichana kumwita kaka au mtu wa kiume anayemheshim

Mvulana anamwita kaka Hyung
 
ni kaka anaekuzidi umri, na unamuheshim, awe ni wa damu au sio wa damu. Na kwa dada wanamuita unnie. Kumbe wapenzi wa movie za kikorea tuko wengi? Ok kaangalie na hii ( boyz before flowers, he is beautiful, she has fallen for me, empress ki, high doctor, ukimaliza hizi nijulishe.
Nshaziona zote hz unnie!
 
oppa ni neno jipya badala ya hyunim...
nahisi kama zamani kipindi cha joseon ndo walikua wanatumia hyunim- kaka
ila baada ya kuwa korea nahisi ndio likazaliwa hilo la oppa- kaka..
naonaga wanalitumia sana wasichana kuwaita kaka zao wa kiume
 
Kituo cha utamaduni wa korea kinaendesha mafunzo ya lugha ya kikorea karibuni kwa mafunzo
 
Mkwewe Naomi mke wa kilioni rejea ruthu 1:1........yani mwanamke msaliti
huyo ni orpah.
hata tajiri oprah winfrey aliitwa orpah na bibi ake kutoka kifungu hicho cha biblia but watu wakawa wanakosea kulitamka na kuandika wanaita oprah hadi ikawa official
 
Back
Top Bottom