Recent content by Ambureni

  1. A

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Labda useme mwisho wa Iran siyo Israel.
  2. A

    Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

    Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu
  3. A

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Mkuu Kamikaze drone bado hazijafika? Kumbuka Israel bado hajarudisha shambulizi, kumbuka Iran haina Iron Dome Israel wakituma makombora 300 yote yanapiga Tehran
  4. A

    Nani alimshtua Lowassa?

    Nilisiakia akimongelea mgombea binafsi ndani ya ile beloved speech yake pale Arusha, Ikanitia shaka kuwa atagombea kama mgombea binafsi
  5. A

    Nani alimshtua Lowassa?

    Mimi Bwana naamini Apson yuko kazini, muda ya mrefu Lowasa atavuna mabua
  6. A

    TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

    Hata team LOWASA watakuambia confirmed, Na mimi team .... ni confirmed
  7. A

    Nani alimshtua Lowassa?

    Mimi namshauri Lowasa na team yake wajiandae kisaikolojia, najua baadhi yenu mna magonjwa ya moyo. Big no ifanyeni sehemu yenu ili msipate shida.
  8. A

    Kama ni kuhusu akina Lowassa na CCM yao, M/kiti Mbowe amesema

    Lowasa hawezi kupeperusha bendera ya CCM, amini usiamini Lowasa ni kamampizani ndani ya CCM:A S-rap:
  9. A

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    Adolf Hitler alitumia ujanja wake wote hasa mahitaji na madhaifu ya Wajerumani wa wakati ule ili watu wampende, lakini pia alitumia ujanja wake wote ili watu wasijue moyoni kwake amekusudia kufanya nini!!. Nayasema hayo kwa sababau nimejaribu kumfatilia Lowasa kwa muda sasa, tena nilipata...
  10. A

    Askofu Samson Gwajima amevamiwa

    Kwa taarifa nilizonazo mimi aliyevamiwa na mambazi ni mdogo wake ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Mwanza. Jina lake Anaitwa SAMSON GWAJIMA
  11. A

    DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

    Tamu ni QSat bandle la 2000 kwenye line ya Tigo au mtandao wowote, tosha mwezi mzima. Channel zotee za DSTV zinapatikana
  12. A

    IGP Mangu: Marufuku kuwa na Vikundi vya Ulinzi vya Vyama vya siasa kwani ni kinyume cha Katiba na Sheria ya nchi

    Huu nu uamuzi mzuri kama jeshi la polisi litahakisha mikutano yote ya kisiasa au shughuli sote za kisiasa ziitapewa ulinzi wa uhakisha bila kupendelea chama fulani. Lakini kama polisi hawatafanya hivyo vikundi hivi haviepukiki kwa usalama wa vyama vyetu. Angalizo kwa serikali yangu kama...
  13. A

    Treni yasimama katikati ya barabara Kawawa road

    Labda sababu ni yale mabehewa yaliyoninuliwa kidilidili kila saa mabovu
  14. A

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Inaonekana huyu jamaa aliyeanzisha uzi huu anajua mambo ya katika hii Mifuko, sasa Ruge na team nzima ya Clouds, The Peoples station, kuweni makini na ikibidi hao jamaa wa Mifuko wawe wanawaonesha barua kutoka kwa msimamizi wao, au msimamizi ajitokeza na aseme ukweli juu ya LAPF na pia GEPF nao...
Back
Top Bottom