Askofu Samson Gwajima amevamiwa

Njari
Kama wameisuka wabaya wake, lazima waitengeze hivyo, maana kwa nchi yetu skendo hiyo ndiyo wanapenda sana kutengenezewa viongozi wa dini na wa siasa, nadhani labda ndio yenye impact kubwa sana kwa jamii yetu ya watanzania.
 
Last edited by a moderator:
leteni habari kamili hii inakuwa kama udaku kama kweli wekeni na vielelezo
 
Gwajima hamtamuweza achana nae. Muacheni akahubiri neno la Mungu ili watu kama Nkurunziza waweze sikia na kumrudia Mungu then amani itawale Burundi.
 
Kwa taarifa nilizonazo mimi aliyevamiwa na mambazi ni mdogo wake ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Mwanza. Jina lake Anaitwa SAMSON GWAJIMA
 
Yeye mwenyewe kasema kuwa waliambiwa ana pesa nyingi hivyo wanataka pesa!! Waliondoka na elfu kumi tu aliyokuwa nayo mkewe!!

acha uzushi amekwambia SAA ngapi wakati.hajazindika toka akatwe mapsnga? amekodishiwa ndege muda huu amepelekwa Nairobi.
 
acha uzushi amekwambia SAA ngapi wakati.hajazindika toka akatwe mapsnga? amekodishiwa ndege muda huu amepelekwa Nairobi.

Alihojiwa jana kabla hajapoteza fahamu!! Uwe unasikiliza wapo radio na rfa utapata news zote saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja na robo weka rfa na saa moja na robo mpaka saa mbili weka wapo radio utapata habari nyingi nzuri ambazo hazina upendeleo wala hazipotoshi!!
 
Kwa hiyo yuko Wapi?
 
Ni mdogo wake na gwajima wa dar uliyemsikia ni wa mza naye ni mchungaji

Waliomvamia hawajulikani

Source wapo
 
Ni mdogo wake anayeongoza kanisa la ufufuo na uzima mwanza!! Polisi wanasema sio mara ya kwanza!! Jamaa yuko vizuri nimesikia akihojiwa aliwapiga karate wakasambaratika ingawa walimjeruhi vibaya!!!

Hilo kanisa lipo mwanza sehemu gani
 
Mbona mnaleta habari ambazo hazieleweki sijui mmekula maharage ya wapi
 
Ni mdogo wake anayeongoza kanisa la ufufuo na uzima mwanza!! Polisi wanasema sio mara ya kwanza!! Jamaa yuko vizuri nimesikia akihojiwa aliwapiga karate wakasambaratika ingawa walimjeruhi vibaya!!!

well said....MUNGU akiwa upande wetu hakuna kitakachotushinda....
 
Back
Top Bottom