Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 65
Kuna pale makutano kati ya reli na barabara ya kawawa ambapo kulitokea kulishawahi kugongana kati ya treni na roli kama wiki mbili zilizopita. Sasa hivi kuna treni ya mizigo imesimama katikati mwa Barabara. Sikuweza kupata picha kwani nilikuwa kwenye harakati ya kugeuza gari na kuwahi kufika ofisini kwa mkuu wa Mkoa, nilikuwa natokea Keko.