Recent content by amazon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kike

    Wadada wote humu JF hujambamba hata mmoja?
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suprise nyingine kazi kweli kweli

    Mmmmmmmhh...! Unatisha wewe..!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Serious natafuta mchumba (mume)

    Kila la heri dada.. Utapata PM nyingi sana ila sio kila PM unayoipata huyo mtu yuko serious..! Inabidi ufanye upembuzi yakinifu.. Ninavyokuambia hivi nina ushahidi.!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

    Madame X, what if baada ya kutoa maganda hivyo viazi nikiviponda na kuvichanganya na viungo kabla ya kuvichovya kwenye huo unga wa dengu.... Will it be Okay?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa au kuuzwa ipo upanga mtaa wa longido

    Na anayetaka kupangisha je?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha hekari 2.5 kinauzwa

    Hiyo Kisarawe wewe ndio unaifahamu vizuri?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Asante my dear, kwa kweli nimepata fundisho kubwa sana.. Thanks..
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Mimi yaliyonikuta si kwamba nilitangaza mimi, hapanaaa.... Kuna mkaka alitoa tangazo anahitaji mchumba/mke sasa ndio nikarespond kwenye hilo tangazo lake.. Mwisho wa siku ndio yakanikuta ya kunikuta..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

    Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokukomaa kwa mayai

    Habari zenu wana JF.. Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza kuzitumia kwa kuwa sina mpango wa kuzaa kwa sasa..Nauliza kama kuna vyakula au matunda ya kutumia zaidi...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna future kweli?

    Nawashukuru wote kwa ushauri wenu. Nimepata somo zuri hapa JF. Nawatakia Jumapili njema
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna future kweli?

    Asante mpendwa kwa ushauri wako..
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna future kweli?

    Nimepitia mengi hivyo naogopa isije kuwa napoteza muda wangu maana naona kama hasomeki vizuri. Sasa miezi mingapi ndio inafaa kwa yeye kunipeleka kwake? Nahitaji assurance mapema.
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna future kweli?

    Kutokana na ushauri nilioupata humu nimeanza kufunguka hivyo nahisi inawezekana akawa na mwanamke labda anaishi nae ingawa yeye anakataa na anasisitiza niwe na subra atanipeleka tuu kwake muda si mrefu from now.
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna future kweli?

    Naogopa nisije nikakuta bibie katinga akanipa kichapo bure akaniharibu Reception.
Back
Top Bottom