Suprise nyingine kazi kweli kweli

Suprise nyingine kazi kweli kweli

Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?

1+2=3 kuna kosa hapo?
 
Hahaha! Hii ni challenge. Nafikiri kabla ya kusukumwa na "yale mawazo kuwa mkeo anakucheat", kwanza amini kuwa ni suprise kweli. Pigana na nafsi yako isikubali kuwa mkeo anakudanganya. UONGO HAUJIFICHI, kama anafanya upuzi utajua tu.

Halafu mwambie suprises nyingine mtatoana roho kwa pressure!
 
Suprise Kariakoo? Hii kali
Ningekuwa ndo mimi, mwanamke ana kesi ya kujibu
 
Sifa zingine! za kijinga

Ha ha ha HUYO ALIKUWA NA JAMAA HAPA HAPA MJINI WANAKULA raha na huyo shosti wake ndo kuwadi. Mi mwenyewe nilishakulaga mke wa mtu na wifi ndio alikuwa kuwadi tena nilikuwa namkanyaga kwenye nyumba ya kaka mtu(Wifi) ndo alikuwa anafanya mipango munawara! watu weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mmmmmmmhh...! Unatisha wewe..!
 
Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?

Mke hajui hata kusema uongo, Juzi Songea leo kariakoo ulilala wapi?
Hebu mpe adhabu ya kumla tiGO uone kama bado iko salama,
Kama seal imeondoka ujue kazi kwisha.

Bazazi!
 
mhm nawapenda sana watu wanaojifanya kuwa distance sio kitu kama mnapendana...kumbe wanadanganyana tuu. hahaha serves him ryt.
wanaume tumekuwa mabwege sana eti unaoa alafu mke anaenda kufanya kazi au kusoma elsewhere....sasa wee ulitaka kuolewa ama kusoma na kazi. wanandoa wanakaa kwenye nyumba moja hapo hamna mjadala.
 
Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?

Hakuna SURPRISE ya aina hii.
Toka Songea hadi Dar bila taarifa kwa mume, huyo amefuata yake na wala si mume, wamekutana dukani tu bahati mbaya.
 
Gari ya Songea Kariakoo???

Ndio.....kama wanaishi Kurasini daladala akaunganishie wapi? Na kabla hajapanda daladala anapitapita angalau aangalie hata mboga buchani, si unajua wababa wakibaki wenyewe unaweza kukuta hata mboga ya jioni haieleweki......
 
Ha ha ha HUYO ALIKUWA NA JAMAA HAPA HAPA MJINI WANAKULA raha na huyo shosti wake ndo kuwadi. Mi mwenyewe nilishakulaga mke wa mtu na wifi ndio alikuwa kuwadi tena nilikuwa namkanyaga kwenye nyumba ya kaka mtu(Wifi) ndo alikuwa anafanya mipango munawara! watu weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Nawewe unajisifu kwa upuuzi ulioufanya?!!!!.duh kumbe mpo wengi,,,:!
mlacha mwenzie na chake huliwa pia.
 
teh teh teh kwi kwi kwi kwi leo nimeamini za kwako changanya na za mbayuwayu
 
This isn't a suprise,unless you decide to call it so.
Think BIG.Face the reality.
 
Ndio.....kama wanaishi Kurasini daladala akaunganishie wapi? Na kabla hajapanda daladala anapitapita angalau aangalie hata mboga buchani, si unajua wababa wakibaki wenyewe unaweza kukuta hata mboga ya jioni haieleweki......

Hakuna kitu kama hicho, magari ya Songea hufika Dar muda mmbaya huko K'koo maduka huwa yashafungwa.
Huyo dada alikuwa kamdanganya mumewe period
 
si kamkuta na shosti wake? Angemkuta na kidume je?
Ila dah ndo nyingine hizi
 
Jee kama kweli ilikuwa suprise? Tafuteni ukweli wa mambo kabla ya conclusion.! Pili mie namshangaa jamaa kuwa na mawazo kwani huyo demu mwili ni wake na anao uhuru wa kuliwa pembeni japo mara moja moja.! Mwili haujengwi kwa mkate tuu..!
 
akili kumukichwa.......

hapo dawa yake yule Mume hata kama Umemuona Uso kwa Uso nafanya sijamuona nampita 2 na hata jioni simpigi Sim...yeye ndio atakua na Maswali ya kujiuliza...kulikoni
 
Back
Top Bottom