Hapa kuna future kweli?

dada yangu kwan kwake anaishi na wazazi wake kiasi akikupeleka atakuwa amekupeleka kwa wazazi?kama ndio hata akuonyeshe basi kwa mbali upaone angalau..mhh huyu ameshakwambia uchukulie km mnastareheshana sasa unasubiri nini kwake km unataka ndoa??kuwa serious na maisha yako..mtafute mtu sahihi kwa mtazamo wangu huyu hakuna kitu...

Haishi na wazazi wake. Amenielekeza tuu kwamba ukitaka kufika kwangu unashukia kituo flani ukiuliza tu madreva taxi au boda boda watakufikisha. Ila mi naona si ustaarabu kum surprise mtu napenda anipeleke yeye akiwa willing sitaki kumlazimisha.
 
nenda tena usiku
jifanye una dharura
 
na pia hujaelewa jibu....suluhisho hapa sio mimi kutoa au kutokutoa uroda.....ni hivi.... amazon dia....kuna wanaume wanyenyekevu sana kabla hajakumega.....hiyo kupima sio ishu.....shida yake akishakupata ndo ntolee......stuka....

Nimestuka my dear. ndio maana nikaona niombe ushauri kwa ninyi rafiki zangu wa JF. Nashukuru sana kwa somo
 
ukweli unaona kumbe?
unaogopa kuu face sio?

Kutokana na ushauri nilioupata humu nimeanza kufunguka hivyo nahisi inawezekana akawa na mwanamke labda anaishi nae ingawa yeye anakataa na anasisitiza niwe na subra atanipeleka tuu kwake muda si mrefu from now.
 
BUT still miezi mitatu ni mapema mno kumlazimisha mtu alete posa au a behave like husband to be..
mwache akusome kwanza
au tafuta mwenye 'deperation ya ndoa' kama wewe

mpe mtihani mmoja tu
no sex untill ujue anaishi wapi
hapo utapata jibu

yaani hapo ahakikishe no sex no romance..
 
Habari zenu wana MMU?
Mimi ni dada ambaye nimepata mpenzi kama miezi mitatu hivi imepita. Kitu kinachonifanya niombe ushauri wenu ni kwamba, huyu kaka kwanza mawasiliano yake sio mazuri ni mpaka nimuanze na hata nikimtext anachukua kama masaa mawili ndio anajibu meseji.. Anajitetea kwamba yuko bize sana. Anapafahamu ninapoishi na huwa anakuja kunitembelea lakini ninapomwambia anipeleke kwake anasema atanipeleka kwa sasa ni mapema mno kufanya hivyo.

Kitu kingine nilipomueleza kwamba mimi niko serious na huu uhusiano, akaniambia kwa nini tusichukulie kama tuu tunastareheshana isitoshe tuna muda mfupi tangu tumeanza hivyo tusiji commit mapema! Na akanieleza nisipende sana mambo ya kuolewa kama vipi tuzae tu.

Napata wasiwasi na huyu kaka kama kweli ana mpango na mimi. Naombeni ushauri wenu maana nimeshaanza kukata tamaa..
Miezi mitatu ni michache mno! Kwani unakimbilia wapi?
 
Dada acha kujipa presha na kufanya conclusion amabazo hazina tija. Huyo kaka inawezekana kweli akawa anakupenda sema ndio vile hajazoea mambo ya msg za kila dakika na isitoshe hujui ni yepi yaliyomkuta huko nyuma. Inawezekana kweli anakusoma ili aone kama kweli unamfaa. Tatizo la sisi wadada ukishapelekwa kwa mwanaume utataka uhamie huko kabla ya ndoa. Unaanza kuhamisha mara khanga, mara gagulo, mara ...! Mpe muda kama miezi miwili zaidi halafu urudi hapa hapa utupe majibu. I hope mambo yatakuwa poa. Mapenzi ni uvumilivu dada.
 
nina wasiwasi kama kweli ana mapenzi ya dhati kwako kwasababu kila siku wewe ndo unaanzisha mawasiliano!
pengine ni kweli amewahi kutendwa ndo maana mwanzoni anakuwa mwangalifu lakini pia siamini kama ni sababu hii hasa.
 
Miezi mitatu ni michache mno! Kwani unakimbilia wapi?

Nimepitia mengi hivyo naogopa isije kuwa napoteza muda wangu maana naona kama hasomeki vizuri. Sasa miezi mingapi ndio inafaa kwa yeye kunipeleka kwake? Nahitaji assurance mapema.
 
jamani amazon nshakuona umepoteza imani juu ya hubby wako! ucfanye hvyo kheri uwe half half ili upate muda wa kumchunguza vizuri coz naamini unampenda sana!! kwel kwa mtazamo wa juujuu anaonekana hafai hata robo but on other side kila mtu ana hulka yake!! vitu ambavyo wewe unaviona ni vkubwa sembuse kwake yeye anaviona vdogo kama nukta!! cha muhim mwambie malego yako yote pia mwambie yapi anayoyafanya we huyapendi tuone atajibuje! pia usimuoneshe kama umekufa umeoza juu yake!! ana majibu machafu mbele ya mtu anaemuheshm na kumpenda kwa dhat! cjui kwa nini anajiamini hvyoo! anapoteza uaminifu kwa kwel na kwa sababu hyo usikubali auchezee mwili wako!! kama alivyoona ni mapema kukupeleka kwake bas mjulishe kwamba nimapema sana kufanya anayoyataka!!
 
Asante mpendwa kwa ushauri wako..
 
Nimepitia mengi hivyo naogopa isije kuwa napoteza muda wangu maana naona kama hasomeki vizuri. Sasa miezi mingapi ndio inafaa kwa yeye kunipeleka kwake? Nahitaji assurance mapema.
Kupitia kwako mengi... then you should not push harder, hakuna time limit ya mahusiano kutaka kuingia ktk ndoa. Watu wanaweza kukutana within a week na kukubaliana kuingia katika ndoa kwa muda huo wa wiki, ninachosema isionekane wewe ndiye unatoa msukumo kutaka kuingia katika ndoa, kuoana it's between you two, sio nguvu za upande mmoja. Kama umepitia mengi hayo yalikuwa mambo yako...
 
kwani kinahusika na commitment?
we wote ukliowahi kuwagaia illikuwa ni commitment?
hujawahi kugawa for pleasure?

hivi kumbe kipapa kigawiwa pasi focus siku hii eeh!
to me nirahs kumjua kama man is with you or not manake ukimpa akakuanzia pozi waweza kugundua kuwa hakupata alichotarajia kutoka kwako.
 
hivi kumbe kipapa kigawiwa pasi focus siku hii eeh!
to me nirahs kumjua kama man is with you or not manake ukimpa akakuanzia pozi waweza kugundua kuwa hakupata alichotarajia kutoka kwako.

wewe hujawahi kugawa huku ukijua
hakuna future?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom