Nyumba inapangishwa au kuuzwa ipo upanga mtaa wa longido

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
NYUMBA hii inafaa kwa matumizi ya kuishi au ofisi ipo Upanga mtaa wa longido, nyumba ina vyumba 7 . sitting room .dinging , store . na servant counter ina bed rooms 2 na jiko na store, compound inatosha gari sita kwa wakati mmoja . na kuna chumba cha mlinzi . chini ina tires juu gypsum . umeme na maji yapo na tank kubwa la maji ya ziada.
Kwa anayetaka kuinunua inauzwa $ milioni moja kwa anayetaka ubia inazungumzika . kiwanja kina sqm 959

mawasiliano 0755 099 291 au 0657 145555 Akiri

BEI IMESHUKA KWA ANAYETAKA KUPANGA NI $ 2,500 KWA MWEZI
 
Duuh!
USD 1,000,000/=
Ni sawa na Tsh 1,580,000,000/= (Bilioni Moja na Milioni Mia Tano Themanini tu)
Kwa wale wenzangu Watanzania wa kawaida hii ni GHALI sanaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Teh teh teh....................hii nchi kuna watu wana hela chafu sana aisee. Yaani hiyo bei ya nyumba unanunua viwanja kadhaa na kujenga vijumba kibao vipya na vya ukweli sana.
 
Inasikitisha sana kuona, nchi isiyo na hospitali hata moja ya kueleweka, umeme wa mawazo, maji ya kwikwi, barabara na miundombinu ya tora bora, hakuna hata Shopping Experiance, hakuna hali ya hewa ya kueleweka... full vipindu pindu...(usikute nje ya hiyo nyumba kuna mama ntilie anauzia wali maharage mafundi ujenzi na mitaa kadhaa tu baada ya hapo kuna teja anapiga debe--muhimbili muhimbiliiii).... and the list goes on and on... Ina properties za Dola Milioni...? LOL

Ama kweli Tembea uone....
 
YM huwa anapenda za hivyo, kwani huwa ananunua, anaibomoa, anaporomosha jengo refu, anakuja kuliuza!
 
bei imeshuka sasa kwa anayetaka kupangisha anaweza panga kwa $ 2500 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom