Msidhani kila mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni M.ALAYA

AmKATRINA

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
414
366
Kichwa cha habari kimejitosheleza.
Si wote mnaodhani mwanamke atafutae rafiki/mpenzi/mume humu LV ni Prostitute!!!

Mtu anaku-PM vizuri,mnaongea na baada ya kuridhika na maelezo yake mnapanga siku ya kuonana.
Lakini siku ya kwanza tu kuonana anakwambia Muende Guesti House eti mkaongelee huko,
Nawe kwa kumtega unamwambia twende,
Bila aibu anapitia dukani kununua mpira!!
Shame!!!
Hv huoni aibu??
Ndivyo ulivyoaga kwenu hvo??
Nyambafff!!!

Na mwingine utamsikia "Ooho napenda sana kufanyia mazungumzo Guest kwani ni mahala tulivu na hakuna makelele wala honi za magari"
Khaaa!!!

Jamani ndivyo mlivyolelewa na wazazi wenu hvo???
Jamani, wanaume wachache humu mtawakosesha wenzenu wenye nia ya kweli ya kutafuta wenza wa maisha.

Angalieni sana, si kila mwanamke wa majaribio.
Kama mmezoea wanawake wa majaribio huko mitaani,basi hapa mmechemsha.

Sijalenga watu/mtu yeyote,
anaye/wanao jishuku huenda akawa/wakawa mhusika/wahusika.
 
ni Pm mimi
 
nimekupm...
 
Mimi nafikiri ukiweka bandiko kama hilo tegemea yote hayo. Na kwa angalizo kama hili sidhani mtu atabadilika kisa umemwambia hajafunzwa na mzazi wake!

Badilisha style, wewe ndio uwaPM wale wanaotafuta wachumba wanaosound serious; coz nawe userious mtaendana!
 
Watu walifikiri "kitonga" (mteremko),
You sound to be good wife if occupied!! Maana una msimamo.

But next time usiseme eti unamtega mtu kwa kwenda nae Guest house, akikubaka huko no one will believe hakua fiancée wako!!

Kila la kheri best
 
Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na bumbuazi na sikuamini kumbe ndio wanajidai wanatafuta wake kumbe wanatafuta wadada wa kufanya nao ngono. Mi sikutaka kujirisk kwenda huko guest house, hivyo nikakata mawasiliano nae mara moja maana nilikuwa nimeshamgundua nia yake nikaachana nae. Ila nilishangaa sana.
 
Mimi nafikiri ukiweka bandiko kama hilo tegemea yote hayo. Na kwa angalizo kama hili sidhani mtu atabadilika kisa umemwambia hajafunzwa na mzazi wake!

Badilisha style, wewe ndio uwaPM wale wanaotafuta wachumba wanaosound serious; coz nawe userious mtaendana!

Lakini kama anajua ahitaji kwanini asumbue hvo?
Na tena anaweka msisitizo.
 
Yaani mtoa mada alichozungumza ni ukweli mtupu hata mimi yameshanikuta, nili respond kwa mkaka mmoja aliyekuwa anatafuta mchumba, akaniambia angependa tukutane guest house kwani ni mahali palipo tulia na akaongeza anatangulia yeye ataniambia yuko chumba namba ngapi ili nimfuate... Nilipatwa na bumbuazi na sikuamini kumbe ndio wanajidai wanatafuta wake kumbe wanatafuta wadada wa kufanya nao ngono. Mi sikutaka kujirisk kwenda huko guest house, hivyo nikakata mawasiliano nae mara moja maana nilikuwa nimeshamgundua nia yake nikaachana nae. Ila nilishangaa sana.

Yaani acha tu,
ni wapenda ngono tu.
Kwa kweli humu hakufai,si kwa kutafutia mwenza kwa kweli.
Inabidi wabadilike kwa kweli maana tunakoelekea doh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom