Hapa kuna future kweli?

unaingia kwenye mahusiamo na binti hardly three months unaanza kuwekwa under pressure eti una mpango gani naye....peaneni muda wa kufahamiana vizuri bana ebo
 
Duh miezi mitatu? Haha. Dunia ina mambo. Sorry I laughed. All I wanted to advice on has already been said. PS: Nimeli-miss hili jukwaa. Jumapili njema wadau.
 
Nawashukuru wote kwa ushauri wenu. Nimepata somo zuri hapa JF. Nawatakia Jumapili njema
 
umeshamgea kipapa...?

ni swali zuri sana hili Preta maana mara nyingi hii ndiyo huwa inakuwa point of convergency or divergency (either mtu anasepa coz ni player na kapata alichokuwa anatafuta or anatulia coz umemwamini na kakuta mambo yamekaa vyema)
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma vizuri sana una haraka sana na kuolewa hili ndilo tatizo lako kubwa ambalo usipo angalia yawezekana ukaachana na mwenza wako. dada jiamini ili akuamini na usiogope kutoa hisia zako kwake unajuwa watu wengi sana huacha kujenga msingi wa mapenzi na kukimbilia kuezeka, ndowa ni kuezeka,kama unampenda endelea na imani hiyo utaona mafanikio atakupeleka kwake hata kwao utaenda na mpango wa ndowa utauna. kuwa mwangalifu kwa kila hatua unayopiga nakutakia siku njema.
 
anakupenda sema anaogopa kujicommit,usimuonyeshe km uko very desperate kiasi hiko
 
Haishi na wazazi wake. Amenielekeza tuu kwamba ukitaka kufika kwangu unashukia kituo flani ukiuliza tu madreva taxi au boda boda watakufikisha. Ila mi naona si ustaarabu kum surprise mtu napenda anipeleke yeye akiwa willing sitaki kumlazimisha.

unakaribia kabisa kuibiwa........najua hutakuja kutuambia,believe,kuna mwenzio ambaye yuko huko nyumbani........yaan,mbona swala liko uchi kabisa...hebu fikiria kidogo,ukiwa na normal friend tu,kujua anapokaa ni lazima,seuze mpenziii.......shtuka dada,kuna mchezo unachezwa hapo..............NI UKWELI UNAOUMA,YACHUKUE FOR THE BETTERMENT OF YOUR FUTURE....
 
sio ana mwanamke huyo ni mume wa mtu.Mtu keshakwambia mnastreheshana unasubiri nin?jiongeze mamaa
 
Back
Top Bottom