Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume:
1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom.
2. Mwanaume aliye simama Kimaisha.
3. Mwanaume mwenye Fedha.
4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia.
5. Mwanaume anayeleta Usalama...
KWA WANAWAKE TU: NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWAMUME ASIYEFAA.
1. Mwanamume mwenye kundi la marafiki wa kike na hasa ikiwa anawaita dada zake. DADA JIHADHARI! HUYO MWANAMUME NI MALAYA! MFUTILIE MBALI HUYO!
2. Ikiwa unawajua wapenzi wake wa zamani au wanawake wowote aliowahi kuwa nao katika mahusiano...
NJIA NYINGINE 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Mwanamke ambaye anaweka picha Facebook akiwa nusu uchi, akionyesha yeye Makalio yake, Nk. MWANAMKR HUYO NI MALAYA! JIHADHARI!
2. Mwanamke ambaye anamdanganya mumewe au mpenzi wake na Kujileta kwako. “Maana mume wangu hayumo nyumbani, Amekwenda...
NJIA NYINGINE 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Mwanamke ambaye anaweka picha za Uchi Facebook akiwa nusu uchi, akionyesha yeye Makalio yake, Nk. MWANAMKR HUYO NI MALAYA! JIHADHARI!
2. Mwanamke ambaye anamdanganya mumewe au mpenzi wake na Kujileta kwako. “Maana mume wangu hayumo nyumbani...
NJIA 10 ZA KUMTAMBUA MWANAMKE ASIYEFAA.
1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO MWANAMKE NI KAHABA NA HAKUFAHI!
2. Mwanamke anayesema anachukia wanawake wenzake na ana marafiki wa...
We we ni MTU unayejiita mkristo lakini ni counterfeit christian, nani alikuambia ukiwa askofu lazima uwe na PhD nikuulize Petro alikuwa na PhD?, Paulo mtume alikuwa na PhD ? a cha dharau kwa watumishi wa MUNGU wa kweli kwani anayetoa huo uaskofu ni Mungu mwenyewe na si mwanadamu awaye yote.
Hata kule Ujerumani Hitler alikuja na maneno kama haya, kumbe alikuwa nayake nyuma ya pazia. Huyu Dr katumwa na Shetani ila Hajui na Kwa nguvu za Mungu hawezi Kushida.
Wewe Mkumbo Unamtisha nani hapa wewe ni Mwalimu na msomi lakini hujui tofauti ya majira, usifananishe CDM ya nyakati hizi za karne ya 21 na NCCR ya nyakati za VHS, analog ya karne ya 20. Yote aliyoandika yanaonyesha kuwa ana personal vendetta na viongozi wa CDM, Shut UP and swallow your arrogance.
Kamuulize Mzee Moi aliyekuwa akitamba kwa kejeli nyingi "KANU itatawala kenya mpaka kiama (si miaka 50)". But as Long as Jesus Christ Lives it just a matter of time, Because its God's policy that anything that has its beginning must have an end, its CCM time to obey this policy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.