Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,436
- 4,429
Uaskofu wa Kakobe sote tunaujua. Ni huyu huyu mwaka 2000 alitangaza kuwa kaoteshwa Mrema atakuwa rais! Akazunguka naye mikoani kupigia debe kwenye majukwaa ya urais. Sote tunajua kura alizopata. Juzi tu kaapa kwa jina la Yesu umeme hautawaka, kisa umepitishwa juu ya Kanisa lake. Umeme hadi leo unawaka, tena umepunguza kabisa mgao. Mtu wa aina hii bado mnaendelea kumwita askofu mwenye maono ya ki-Mungu!!! Kuwateka binadamu akili ndiyo njia hatari zaidi kuliko hata kuwalipua kwa mabomu!