Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Nisaidieni mimi mjinga, kwanini tangu Lowassa ahamie CDM washabiki na wanachama wake wamekuwa kama maZombie? Hii ni kwa wale wanaotaka kunisaaidia tuu.
Hakuna wa kukusaidia,kajisaidie kwanza
Nisaidieni mimi mjinga, kwanini tangu Lowassa ahamie CDM washabiki na wanachama wake wamekuwa kama maZombie? Hii ni kwa wale wanaotaka kunisaaidia tuu.
uongozi siokukaa kwenye kiti cha ikulu na safari za inje uongozi nikuwatumikia wana inchi
Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa vyama vingi TZ kura yangu itaenda kwa chama tawala.
Upinzani umenifanya nione kuwa hakuna haja ya kuwepo upinzani ...
Upinzani gani hauna jipya.
Upinzani gani hauna msimamo
Upinzani gani unakumbatia mafisadi na kujitahidi kuwasafisha,,,,,
Upinzani hovyo kabisa

kwani huyo lowasa mbona inawauma sana kuhamia.chama kingine? mwacheni ukiona cha nn wanzako kwa ni kizuri tz kila mtu anahaki kuchagua chama anachokitaka
Ccm wote ni mazombi,nawachukiaa kuliko shetani
Ccm wote ni mazombi,nawachukiaa kuliko shetani
Mchezo wapwani sio.style ya jf .komaa.kabisaaa...Nisaidieni mimi mjinga, kwanini tangu Lowassa ahamie CDM washabiki na wanachama wake wamekuwa kama maZombie? Hii ni kwa wale wanaotaka kunisaaidia tuu.
kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa vyama vingi tz kura yangu itaenda kwa chama tawala.
Upinzani umenifanya nione kuwa hakuna haja ya kuwepo upinzani ...
Upinzani gani hauna jipya.
Upinzani gani hauna msimamo
upinzani gani unakumbatia mafisadi na kujitahidi kuwasafisha,,,,,
upinzani hovyo kabisa
Ccm wote ni mazombi,nawachukiaa kuliko shetani