Recent content by Amari

  1. Amari

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Mwijaku ana shida sanaaa
  2. Amari

    JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    Giza halijawahi kuishinda nuruu..
  3. Amari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tatizo Sio kwenda kwenye browser mkuu.. Hawa hata option ya forget password ni mtihani. Nimesha badili ID Tatu.. Sasa maana nikienda browser na hii nibadili.. Sasa ladha iko wapi hapo?
  4. Amari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mods tafadhalini mturuhusu watumiaji wa App kuweza kufatilia huu Uzi. Ni zaidi ya week Sasa siwezi kusoma chochote huku. Sasa bila huu uzi kwangu JF haina ladha. Maxence Melo Active Paw
  5. Amari

    JamiiForums Tanzania Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Ni mtanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Amari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

    Hao wahuni wanasubiria uanze mchakato wa kujimilikisha ndio wakushukukie kama mwewe.. Tulia acha papara. Jambo la msingi hapo ni kurudi kwenye makubaliano kwamba wakichelewa kurudisha hela kuwe na riba. Faida yako uipate kwenye riba. Tofauti na hapo subiri kesi itakayo kuvuruga sana. Sent...
  7. Amari

    JamiiForums Tanzania Waandishi washambuliwa Ngorongoro huku Mbunge akihusishwa katika tukio hilo

    Mchange ni Mkurugenzi wa media hausi... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Amari

    JamiiForums Tanzania Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

    Tutake radhi bwana mdogo... Pata tofauti ya maarifa na umbea kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Amari

    JamiiForums Tanzania Marafiki wangapi uliokuwa nao wakati unasoma bado unao?

    Marafiki?!!! Out of site.. Out of mind I live for the moment.
  10. Amari

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Sijui kama yupo kwenye payroll ya boss wao mpya... Alivyo na chuki na Uislam huyo boss akimuacha nae atakuwa mpuuzi. Huyu jamaa hafai kabisa.. Sema njaa imezidi saiv na itazidi sana... Na wanaweza kurudia ule utoto wa 1982 maana wanapelekwa puta haswaa.
  11. Amari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dar ni pazuri... Nitakuja tena kwenye hiyo location.
  12. Amari

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu pombe kali na sigara

    Chakula ni ghali kuliko Pombe.. We are doomed.
  13. Amari

    JamiiForums Tanzania Bandarini meli nyingi zimepaki sio kwa kupenda, zote zinasubiri kwenda kushusha mzigo

    Naibu waziri yupo sahihi kabisa. Kuna msongamano wa Meli bandarini toka muda tu. Hii inasababisha mawakala wa Meli kulipa fedha nyingi maana Meli inakaa muda mrefu bila kushusha shehena. Nafasi ndogo na vifaa vichache. Ni muhimu kufanya upanuzi wa Gati zetu kuweza kuhudumia Meli nyingi Kwa...
  14. Amari

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Radio One na ITV Farhia Middle: Huwa namsoma sana Balozi wetu GENTAMYCINE kule Mtandaoni JamiiForums

    Mwambie akaribie Kwa evodiii bili nitalipa
  15. Amari

    JamiiForums Tanzania Nani angekubali kuja duniani kama angeelezwa juu ya kifo?

    Uko vizuri, Unaweza kuwa vizuri zaidi kama utakuwa unazingatia dhahania hii uliyoweka hapa.
Back
Top Bottom