Ndio maana Iran waliita Saudi Arabia taifa la kigaidi sababu matendo wanayofanya hayana tofauti na Isis na alqaeda kama kuchinja hadharani.
hata mafundisho ya imani kali zinazopelekea ugaidi yameanzia Saudi arabia.
nakumbuka kipindo hicho Kenya airways walikuwa na MacDonnell Douglas dc-9 Tanzania tulikuwa na boeing 737.
mbili kilimanjaro na serengeti.aina hii ya boeing Ni maarufu Sana duniani
kama sio ufisadi atc tungekuwa mbali sana
Nakumbukia legendary the wings of Kilimanjaro B 737. Atcl waagize tolea jipya la b737 , hii ndege Ni most popular in the world Ina record nzuri kiusalama
Katikati ya dunia kwenye core Kuna joto kali Sana, hivyo Kuna movements nyingi za lava(uji)na force inapozidi na Ku erupt ndio mtikisiko unafika kwenye uso WA dunia.
wataalamu wanasema matetemeko yapo kila siku ILA mengi huwa madogo Sana kwa magnitude wakati mungine huwezi kuyasikia.
ndio maana...
Kuna jamaa yangu ameniambia ametumia magamba ya mdalasini ndani ya wiki moja mpaka wiki mbili akapungua kilo tatu. Hivyo nimeona Ni shirikishe wengine wenye shida ya kupungua uzito na mafuta.
KQ vilevile mbia mkubwa alienyanyua hilo shirika ni KLM/ AIR FRANCE bila hao KQ ingekuwa ya kifisadi.
Ethiopia airlines wao wamejipandisha wenyewe na wanashindana na mataifa ya asia na ulaya
Pombe Ni shetani ndio maana niliiacha kutumia .Sijui kwanini vile vitu vibaya kabisa vina ushawishi mkubwa katika tawala za dunia hii. 1.viwanda vya silaha 2.viwanda vya bia 3.viwanda vya sigara
Hawa ulaya kabla injili ya ukristo haijawafuata walikuwa mapagani wakiishi na ibada za kipagani.
Kuna mtaliano aliniambia ECB ndiyo freemason mkubwa kuliko wote.
anazidi kuleta umaskini kwa wengi na utajiri kwa wachache
Kenya nasikia Kuna flying toilets nafikiri Ni Nairobi kibera. Halafu wakora WA Kenya wanakupaka kinyesi ndio wanakuibia. Mombasa maisha Ni magumu wakiona mzungu wanamkimbilia kama ndio anawatoa kwenye lindi la umaskini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.