Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hii ni ilikuwa ni ufunguzi wa handaki (tunnel) refu kuliko yote Duniani nchini Uswisi linalojulikana kama Gotthard base tunnel lenye jurefu wa km 57 linalopita kwenye milima ya Alps huko nchini Uswisi, handaki hili lilichukuwa miaka 17 mpaka kukamilika kwake!
Pamoja na hii teknolojia ya hali ya juu na ya kipekee ya ujenzi wa handaki hili kilichoshangaza labda Ulimwengu kuliko vyote ni siku Ufunguzi wa handaki hili ambapo kulihudhuriwa na wanasiasa na wakuu wa nchi za EU kama Ufaransa Raisi Holland, Ujerumani chancelor Merkel, Italia Waziri Mkuu Renzi ilikuwa ni matambiko ya kishirikina na kishetani yaliyofanywa na Wazungu hao (illuminati) ,
Karibu ujionee mwenyewe, naweka video clip na kwa watakaoshindwa kuona video naweka picha, muone illuminanti au watu waaminio shetani ambao ni viongozi wakubwa wa Dunia hii akiwemo Obama, Bill Gates USA, Merkel Ujerumani, Holland, Ufaransa na hawa wana nia ya kuunganisha Dunia yote na kuunda "One World Government,, ambayo itaongozwa na imani za kishetani na sasa hivi wameamua kupambana na ukristo (anti christ) kwani wanajua hiyo ndiyo nguzo ya mwisho, imetabiliwa hata kwenye Biblia!
Ufunguzi wa Gotthard Tunnel, Matambiko ya kishetani yalishuhudiwa na raisi wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na wengineo
Milima ya Alps ambyo chini yake imepita hiyo reli ya treni!
,,Say no to African electronic passport"!
Pamoja na hii teknolojia ya hali ya juu na ya kipekee ya ujenzi wa handaki hili kilichoshangaza labda Ulimwengu kuliko vyote ni siku Ufunguzi wa handaki hili ambapo kulihudhuriwa na wanasiasa na wakuu wa nchi za EU kama Ufaransa Raisi Holland, Ujerumani chancelor Merkel, Italia Waziri Mkuu Renzi ilikuwa ni matambiko ya kishirikina na kishetani yaliyofanywa na Wazungu hao (illuminati) ,
Karibu ujionee mwenyewe, naweka video clip na kwa watakaoshindwa kuona video naweka picha, muone illuminanti au watu waaminio shetani ambao ni viongozi wakubwa wa Dunia hii akiwemo Obama, Bill Gates USA, Merkel Ujerumani, Holland, Ufaransa na hawa wana nia ya kuunganisha Dunia yote na kuunda "One World Government,, ambayo itaongozwa na imani za kishetani na sasa hivi wameamua kupambana na ukristo (anti christ) kwani wanajua hiyo ndiyo nguzo ya mwisho, imetabiliwa hata kwenye Biblia!
1.Yohana 2:18