Recent content by Amani kilawila

  1. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Kwa upande wangu sidhani kama hii kauli ina ukweli wowote labda wataalamu watusaidie and naomba kuongezea hapo na kama mjamzito anapenda kunywa pombe mtoto atatoka bila akili??? Naombeni msaada
  2. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Wachagga walitaka kuunda nchi yao (Chagga State), Mwl. Nyerere akaomba wasifanye hivyo

    By then (moshi) kilimanjaro ilikuwa mbali sana kimaendeleo kuzidi mikoa kingine ya the then Tanganyika mwalimu alikosea sana kuwaita hawa jamaa wabinafsi kwa sababu kwanza sidhani kama kungekuwa na shida yoyote ya kilimanjaro kujitegemea ni falsafa za kijinga za kijamaa walizokuwa nazo waasisi...
  3. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Tatizo la wengi wanaotetea mkataba upitishwe ni kwamba wanawapinga watoa hoja na sio hoja zinazoletwa
  4. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Parents and prayers [emoji120]

    May our parents not be absent when we start to win
  5. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Seven reasons why some of Degree holder are Poor

    7 REASONS WHY DEGREE HOLDERS ARE POOR? BASICALLY, there are seven reasons why degree holders are poor. 1. THEY DON’T THINK BEYOND THEIR CERTIFICATES Albert Einstein said, “Education is not the learning of facts, but the training of the mind to think.” Have you ever heard creativity term...
  6. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Kusema hapana haiwezekani?

    Nini kinafanya watu (business owners) washindwe kujibu NO hasa ukiwa unaomba kazi Ni kwamba ni wanaepusha disappointments kwa waombaji? Matakwa ya kazi yanamuambia asijibu email zote? Au ku test patient ya muombaji kama anaweza kuvumilia? Au wanapenda kusumbuliwa na waombaji kwamba mbona...
  7. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Kwanini HR Managers na Business owners hawana Imani na freshers?

    Kwanini wa HR Managers na Business owners hawana Imani na freshers??? Je ni freshers hawana weledi?? Wataharibu kazi??? Au roho mbaya za kutowaamini??
  8. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Kwanini HR Managers na Business owners hawana Imani na freshers?

    Jee inamaanisha vijana freshers hawaaminiki????
  9. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Kwanini HR Managers na Business owners hawana Imani na freshers?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa Ajira katika soko la Ajira hii sio kwamba hawana uwezo wa kufanya hiyo kazi au namna gani Bali ni kutokuaminiwa na baadhi ya ma Managers na kunyimwa opportunities za kufanya kazi jee ni nini kifanyike kukabiliana na hili tatizo???
  10. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Ufilipino: Manny Pacquiao Atangaza Kugombea Urais - 2022

    Should we looking forward for our artists and athletics or we should wait until the return of christ
  11. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

    Wakati wapinzani wapo haikuwa ni ruhusa hiyo ngoja ninyamaze BAWACHA wamezuiliwa kufanya jogging Kuna covid ila mikutano yao ruhusa [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Amani kilawila

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

    Kwahiyo ungekuta saivi lissu yupo zake singida anatuongoza[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom