CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
9,500
2,000
Niliwahi kusema narudia tena Shaka ni msaada mkubwa sana kwa chama changu cha CCM na Serikali yake,

Shaka tunakukaribisha kanda ya ziwa,

Tunataka kuona mikutano ya Viongozi wa chama na serikali,

Tuone mkutano wa Mkt wa kitongoji,
Tuone mkutano wa Mkt wa kijiji
Tuone mkutano wa Mkt wa Mtaa
Tuone mkutano wa Diwani,
Tuone mkutano wa mtendaji wa kijiji|kata
Tuone mkutano wa Mbunge,
Tuone mkutano wa DED,
Tuone mkutano wa DC
Tuone mkutano wa RC

TUNATAKA KUONA MIKUTANO TUPATE MAPATO NA MATUZI YA FEDHA ZETU,

Hongera sana Shaka kwa hili,iliwahi kusema narudia tena Shaka ni msaada mkubwa sana kwa chama changu cha CCM na Serikali yake,

Shaka tunakukaribisha kanda ya ziwa,

Tunataka kuona mikutano ya Viongozi wa chama na serikali,

Tuone mkutano wa Mkt wa kitongoji,
Tuone mkutano wa Mkt wa kijiji
Tuone mkutano wa Mkt wa Mtaa
Tuone mkutano wa Diwani,
Tuone mkutano wa mtendaji wa kijiji|kata
Tuone mkutano wa Mbunge,
Tuone mkutano wa DED,
Tuone mkutano wa DC
Tuone mkutano wa RC

TUNATAKA KUONA MIKUTANO TUPATE MAPATO NA MATUZI YA FEDHA ZETU,

Hongera sana Shaka kwa hili,
๐Ÿ˜
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,097
2,000
CCM hainaga kuishiwa. Wapinzani msipokubali CCM ni imara na mkakubali kujifunza kwanini wako imara hamna vile mnaweza kuwashindaVyama vingine wana la kujifunza
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,544
2,000
HAPANA HUELEWI HII CHAIN OF COMAND,

kila ngazi inaumuhimu wake ndio maana Rais akienda mkoa wowote kuna kero atapewa na wananchi,
Kwanini wanampa wanaamini katika mamlaka aliyonayo,

Ndio hivyo kwa RC, DC na wengine,
Ni kweli lakini kama viongozi wanaoshinda na wananchi hawawezi kupokea na kuziwasilisha hizo kero ngazi ya juu na inatakiwa ngazi ya juu ishuke kusikiliza kero unaona ni sahihi?
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,097
2,000
Mama D nakuelewa sana yaani,

Wakati kwa wengine chama ni kazi kama ajira tena yenye ujira kwa wachache, Kwa wanaCCM chama ni imani kama ilivyo dini kila muumini ana haki yake humo

Hiki chama kilijengwa kwenye misingi imara kwelikweli
 
Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
305
500
Ni sawa! Lakini nasikitika kuwambieni nyinyi Viongozi wa Ccm hawa wabunge, madiwani na Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila kuchaguliwa ni ngumu kuelewa hilo. Wako bize wakijiandaa na uchaguzi mwingine ndani ya ccm
 
Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
305
500
Kuitisha mikutano ili kujua kero za wananchi ni matumizi mabovu ya kodi na inaonyesha jinsi gani kuna upuuzi unaendelea.

Mkoa una wabunge.

Una serikali za mitaa zenye wawakilishi mpaka level ya chini kabisa.

Hawa wawili wanaweza kuwasilisha hizo kero kwa RC (Kama RC hajui kero za mTanzania) bila kutumia pesa nyingi pasipo ulazima.
Nachelea kusema hujui shunghuli za mikutano na faida zake.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,544
2,000
Nachelea kusema hujui shunghuli za mikutano na faida zake.
Hehehe kutafutana uchawi au siyo?

Hebu taja mikutano minne iliyoitishwa na RC au DC au PM kisha wananchi wakataja kero zao halafu kero zikatatuliwa.
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
450
500
Nawasalimu katika jina la JMT,

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama na serikali kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta madaraka,

"Ili CCM iendelee kukubalika na kuaminiwa na wananchi na kuendelea kupewa ridhaa ya kuunda serikali na kuongoza Nchi yetu, ni lazima wawakilishi wetu na viongozi serikalini kuwa karibu na wananchi. Hivyo natoa maelekezo kwa wawakilishi wetu hawa nchi nzima wafanye mikutano ya wananchi ili kuhamasisha maendeleo, kusikiliza kero zao na kushirikiana nao kuzipatia ufumbuzi. Pamoja na kuendelea kuwa wasemaji na watetezi wa wananchi wote. Haya ni maelekezo ya ilani yetu ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ibara ya 255 ambayo ni lazima chama tuyasimamie ili kuendelea kuaminiwa." Alisema Shaka

VIVA SHAKA VIVA || VIVA CCM VIVA

View attachment 1945777

Piga kazi, kazi iendelee
 
May 16, 2021
9
45

Wakati wapinzani wapo haikuwa ni ruhusa hiyo ngoja ninyamaze
BAWACHA wamezuiliwa kufanya jogging Kuna covid ila mikutano yao ruhusa
 
Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
305
500
Hehehe kutafutana uchawi au siyo?

Hebu taja mikutano minne iliyoitishwa na RC au DC au PM kisha wananchi wakataja kero zao halafu kero zikatatuliwa.
Tanzania ni kubwa mkuu huku kwetu enzi ya Magufuli walikuwa wakitatua. Uongozi ni kipawa kuna kiongozi mmoja yupo mitandaoni sana Antony mtaka ni kioo cha viongozi wanaotambua wajibu wao
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,363
2,000
Hawamwogopi Kamnda Siro na jeshi lake ? Au ndio zarau waswahili tunamsemo wamemtia mkobani.
 
Mtoto wa Samia

JF-Expert Member
May 27, 2020
325
250
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,

Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
359
1,000
Nawasalimu katika jina la JMT,

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama na serikali kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta madaraka,

"Ili CCM iendelee kukubalika na kuaminiwa na wananchi na kuendelea kupewa ridhaa ya kuunda serikali na kuongoza Nchi yetu, ni lazima wawakilishi wetu na viongozi serikalini kuwa karibu na wananchi. Hivyo natoa maelekezo kwa wawakilishi wetu hawa nchi nzima wafanye mikutano ya wananchi ili kuhamasisha maendeleo, kusikiliza kero zao na kushirikiana nao kuzipatia ufumbuzi. Pamoja na kuendelea kuwa wasemaji na watetezi wa wananchi wote. Haya ni maelekezo ya ilani yetu ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ibara ya 255 ambayo ni lazima chama tuyasimamie ili kuendelea kuaminiwa." Alisema Shaka

VIVA SHAKA VIVA || VIVA CCM VIVA

View attachment 1945777
Piga kazi kiongozi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom