JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Tulia nikupende.
Umesema umetoka kwa watu wasiojua kupenda kabisa, wasiofahamu majukumu yao wenye tamaa na uchu. Ambao upendo wao mkuu umelala kwenye kivuli cha matamanio ya uzuri wako, pole sana.
Umeniambia pia, ulikuwa ukipelekwa pelekwa kama gari bovu. Sauti yako mwenyewe haikuwahi kutiliwa maanani kwenye...