Tuliambiwa kazi yenu ni ya kizalendo,hakuna mshahara unaoweza kumlipa mtu ambaye anajitoa usiku na mchana kulinda raia na mali zao,bali huwa tunawapa tu posho ya kujikimu.Wengine wakiwa wamelala nyie mpo macho.Kweli kwa moyo huo hakuna anayeweza kuulipia,ila tu tunasema ahsante kwa moyo wenu wa...
Watu waache ubinafsi,watu wanaficha sana taarifa za biashara,teknolojia n.k.Tunabaniana taarifa,hauiwezekeni haya majukwaa yanashindwa na jukwaa la celebrity,umbea na lile la MMU.Au ndo tuseme mada za kula tunda ki masihara zinapendwa kuliko za maendeleo?
Shtuka Bro.El Nino inakaribia kuanza,bidhaa kama unga,mchele,sukari na Mafuta zitakuwa adimu na bei itakuwa juu sana,sasa we endelea kumuwaza jirani,yeye yupo kwenye maandalizi anatafuta uhakika wa ku survive katika kipindi hicho.Kimbiiaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.