Amnyonga mkewe kisha kukimbia na 300k

Amnyonga mkewe kisha kukimbia na 300k

Bora angeiba tu hiyo Hela na kukimbia 😭😭.
Hajaona huruma hata kwa watoto
 
Nimeitoa FB

============================================================================

R.I.P uyo mwanamke ndiye marehemu na huyo wapembeni ndiye alikua akiishi nae kama mume hivyo alichukua jukumu la kumuua mke wake mchana waleo akiwa shambani hivyo alipo fanya tukio alichukua simu ya marehemu na kutuma sms kwa watoto wake ambao wao walikua nyumbani "sms ikisema (BABA ENU MDOGO AKIJA MPATIENI LAKI TATU)

Hivyo jama alipofka nyumbani akawaambia watoto mmeona sms ya mama yenu watoto walisema ndiyo, kisha wakampatia hela huyo baba kiasi cha tsh 300,000/= uyo baba wa kambo akaondoka,

lkn muda ulizidi kwenda, Mama yao wakaona haludi nyumbani, wakapatwa na mashaka walichukua jukumu la kwenda kumtafuta shambani maeneo YALUGONGA na kukuta Uyo mama kauwawa kwa kunyongwa lkn huyo jamaa yeye alichukua boda na kuelekea BAHI akiwa tayari amechukua mizigo yake,

TUKIO ILI LIMETOKEA SAA NANE MCHANA LEO TAREHE 20~07~2026, MKOA WA DODOMA WILAYA YA BAHI,

mpaka sasa saa 20:39 mwili upo shambani wanasubiliwa polic
============================================================================
View attachment 3634206
mbona kama Tin White
 
So sad...Mambo ya Wanaume kama mabinti haya...
Mwanamke ndiyo alikuwa na uwezo kifedha na kufanya Mwanaume aishi naye katika inferiority complex kubwa..
Pumbavu zake sana uzuri hachukui raundi anakamatwa
R.I.P Dada..
Watoto ndiyo mayatima kwa ajili ya ubishoo tu wa jinga Moja.
 
(BABA ENU MDOGO AKIJA MPATIENI LAKI TATU)

Hivyo jama alipofka nyumbani akawaambia watoto mmeona sms ya mama yenu watoto walisema ndiyo, kisha wakampatia hela huyo baba kiasi cha tsh 300,000/= uyo baba wa kambo akaondoka,
Tatizo lilianzia hapa.!

Mama hakuwahi kumpa nafasi mwamba kuwa mkuu wa kaya

Nadhani alimkubali kwa haja zake binafsi

Kwanini Nasema hivi.!?

Fikiri hili na ujasiri wa uongo uliotumika

Mtuhumiwa alijua hali yake ya nyongeza kwa familia isiyomuhusu

Mpaka akaunda uchungu wa maamuzi ulio halali kutimiliza makasiriko yake.!

Ushauri.. Singo maza jishikieni mtaangamia.!

Khantwe umeona huu uzi.?

Hata kama wa ni kutunga bado una maumivu
 
Hujaona komenti yangu hapo juu? Halafu mimi umenihusisha vipi na huu uzi?
 
Hujaona komenti yangu hapo juu? Halafu mimi umenihusisha vipi na huu uzi?
Sema nawe una ka ukali kama kama binti mlokole kukemea pepo

Huwa sisomagi vyote hivyo nipe # ya quote
 
Mimi sio muumini wa ile dini ya 'usiolewe na mwanaume maskini' ila watu hawa nawaelewa na nawaunga mkono because wtf is this? Mtu anatoa mwenzie uhai kwa laki tatu!
Eti nawe dini gani imekataza kulewa na Wabeba zege
 
R.I.P dada leo yeye kesho sisi, ila huyo jamaa atakamatwa tu
 
Watu wana vichaa na matatizo ya akili ( na hivi hatuna utamaduni wa kupima ). Inasikitisha sana
 
Nchi hii ina baadhi ya VIJANA WA HOVYO SANAA.ukimuona mbavu kabisa anaua mtu kwa sababu ya sh 300,000/=?
 
Eti nawe dini gani imekataza kulewa na Wabeba zege
Ninaposema dini simaanishi dini literally mkuu...nimeiita dini kwa sababu hiyo slogan ina wafuasi wanaoifuata na kuisimamia
 
Nimeitoa FB

============================================================================

R.I.P uyo mwanamke ndiye marehemu na huyo wapembeni ndiye alikua akiishi nae kama mume hivyo alichukua jukumu la kumuua mke wake mchana waleo akiwa shambani hivyo alipo fanya tukio alichukua simu ya marehemu na kutuma sms kwa watoto wake ambao wao walikua nyumbani "sms ikisema (BABA ENU MDOGO AKIJA MPATIENI LAKI TATU)
Aina ya akili za kina Mwashambwa na Tlaatlaah hizi. Hovyo kabisa.
 
Iyo pesa ni matumizi yangu ya siku mbili huku nilipo. So sad 💔
 
Back
Top Bottom