Recent content by Amakando

  1. Amakando

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kama mayai yakianguka huvunjika

    Pakea like Kiongozi yani jamaa ana post upuuzi humu umempa za uso,
  2. Amakando

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    Mayo mbii eti smart what? Do you think you are not smart? be caregeous u a smart at u a position than any one usizungumze smartness ya wengine labda kama hujiamini
  3. Amakando

    JamiiForums Tanzania updates za msiba wa mdada aliepigwa risasi,morocco

    Ajabu mpaka sasa polisi wako kimya hakuna aliyekamatwa
  4. Amakando

    JamiiForums Tanzania updates za msiba wa mdada aliepigwa risasi,morocco

    Kuna kikundi cha majambazi wanatembea na boxer waliua jamaa hapa masoko tabata kwa kumpiga risasi,vile vile walimkosa jamaa baada ya kumpiga risasi ikatoboa sikio maeneo ya mlimani city wakachukua hela inasemekana walienda Sinza baa ya Mawela wakaua mlinzi na kuweka wateja chini ya ulinzi...
  5. Amakando

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

    Leta picha za ulikofungia ndoa huu upuuzi ondoa!
  6. Amakando

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

    Hebu jipange then uje na full evidence, stop nonsense Ludo.
  7. Amakando

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

    Tukuamini vp kwamba sio kweli wakati unasema picha ni ya wanandugu? ok kama sio lwaka alisimamia ndoa yako je ni jambo gani lilifanya uchelewe kukanusha? Hebu post picha ukiwa hightable ili tuone ni nani alikuwepo? Then tuonyeahe reception! Thereafer tupia kanisani au kwakuwa ulikuwa hali ya...
  8. Amakando

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa Yangu

    Kama kumbukumbu za kupokea elfu hamsini kwa M pesa zisivyofutika, kumbe umekuwa very cheap tangu unaoa du single walilipa ngapi?
  9. Amakando

    JamiiForums Tanzania James Mbatia, kama Mulugo

    Mleta uzi ni poyoyo kweli Mbatia anazungumzia vivutio huyu anazungumzia idadi ya watalii du poyoyo kweli
  10. Amakando

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeitwa kwa DCI Manumba

    Sidhani kama Manumba bado ni DCI!
  11. Amakando

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme Tabata

    Ina maana umekuwa kawaida kuukosa au unamanisha kuwa huwa mnapata umeme kila siku?
  12. Amakando

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme Tabata

    Kiongozi mie.sina ugomvi na hili shirika kama angalau tungekuwa tumejulishwa ili tujipange lkn kwa stahili hii wanatutia hasira sana.
  13. Amakando

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme Tabata

    Yani Mkuu hawa watu wa Taneaco sielewi wamelogwa na nani!
  14. Amakando

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme Tabata

    Wadau, Tangu juzi imekuwa kawaida wakazi wa Tabata jijini Dar kulala bila umeme. Hii imejirudia tena saa hizi eneo hili hakuna umeme kabisa. Tafadhali yeyote mwenye kuweza kutujuza endapo kuna katizo la umeme au mgao tafadhalli.
  15. Amakando

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Lazima taarifa hizi zichukuliwe kwa tahadhari huenda kuna mpango umepangwa na maadui wa Chadema kumdhuru Mohamed Mtoi au Slaa na Mbowe katika uwepo wa Mohamed Mtoi ambayo mbinu hii itawafanya wananchi waamini propaganda hizi zinazoenezwa na Ludovick.
Back
Top Bottom