James Mbatia, kama Mulugo

James Mbatia, kama Mulugo

Kama Mbatia ni kama Mulugo aliysema tanzania ni Tanganyika plus Zambia, basi wewe ni sawa na Mheshimiwa Ja Pipo aliyesema kwanye kampeni zake kwamba akichaguliwa mbunge, atawajengea wanafunzi "dictionary za kuigwa" akimaanisha maabara.

Mbatia amesema ya pili kwa vivutio wewe unasema ya kumi kutembelewa. Huoni kwamba kwa hapo tu umeshamuunga mkono Mbatia? Kwamba kuna under utilization ya resources na opportunities? Kwamba kwa vivutio hivi, kama kungefanyika jitihada katika nia na weledi ingeliweaza kuwa wa kwanza kutembelewa?

Ninaona tofauti kubwa sana kati ya elimu ya Mbatia na ya kwako ambayo umekariri habari za kufikiria nje ya sanduku wakati hata application yake huijui. wewe ndiye ulitakiwa kuona nje ya sanduku kabla hujajichora hapa kwamba wwe ni product ya Udom, big results sasa sasa.!.

Tatu jifunze kuwaza upeo wako kabla hujatukana watu kwa sababu unaweza kupata aibu kubwa kama hii uliyoipata hapa kwamba wewe ndiye mburura haswa!.

Wakuu, Politicians ni watu wa maneno mengi.
Kwa waliomsikiliza Mbatia kwenye kipindi cha Dakika 45, jana atanielewa zaidi.

Mbatia alizungumza mambo mengi sana kuhusu uchumi as long alikuwa anasimama kama Waziri Kivuli wa Fedha..

Kwanza alianza kusema Tanzania ni nchi ya pili Duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya Utalii kitu ambacho si cha kweli..
Kwa Africa tu, Tanzania inashika nafasi ya Kumi kutembelewa na watalii kwa takwimu za 2013 kutoka (UNWTO) United Nations World Tourism Organization..

Kama sisi ni wa pili Australia na Switzerland ni za ngapi?

Hapa lazima tufikirie nje ya box..

Mbatia aliongea Uongo mwingine aliposema
Uingereza ilihama kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari (Feudalism to Capitalism) mwaka 1948...!!

What is this? Anatofauti gani na Mulugo aliyesema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Visiwa vya Zimbabwe na Pemba?

Wanasiasa lazma wawe makini hasa wanapo Ongea kwenye Vyombo vya habari ambapo Watu wanafuatilia,
 
We acha usenge wewe ndo kilaza ina maana haujui tanzania ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii iikitoka brazili acha usenge
 
Unaweza kujiona uko sawa kumbe wewe ndo Mulugo mwenyewe.
 
Kujitangaza ni muhimu sana mkuu!
Ila kutia nyongeza nyingi haina maana..
Nadhani umepata dose ya kutosha mimi sina cha kuongezea bali kukushauri kuwa no research no right to speak!
 
Unaamini kuwa Tanzania ni nchi ya Pili kwa kuwa na Vivutio vingi Duniani?
au nawewe ni wakufuata mkumbo tu ?

mkuu nadhani swala sio kuamini maana katika kuamini naweza amini chochote, swala ni takwimu/orodha ya nchi zinazoongoza kwa vivutio vingi
 
Mbatia huwa ni lofa fulani tu si kwa sababu za kitakwimu tu bali hata kujua namna ya kukiimarisha chama. Anajisifu kwa kuwa na wabunge Kigoma wakati CVs na hulka ya wanakg katika siasa. Alipotaka kuondolewa uenyekiti alihaha sana!

Nashangaa kwa nini Mhe. Rais hajamvua ubunge wa kuteuliwa.
 
Asante mkuu kwa kuona kitu, ila katika maelezo yangu ya awali nimesema lazima tufikirie kidogo nje ya box..
Jaribu kuipitia jiografia ya Dunia tuliyomo halafu pima tu,

Mkuu sitakuamini hata kidogo katika hili la vivutio vya kitalii hata kidogo...

Nchii hii ina circuits tatu kama si nne kuu muhimu za kitalii, na hapa namaanisha pande nne zote za Tanzania....

Nchi kama Uswisi uliyoitaja kwanza kwa eneo la mraba ni ndogo mno wakati yenyewe ina eneo la kilomita za mraba 41,285 ...sisi Tanzania tuna kilomita za mraba 947,300 (sasa fikiria inaingia kwetu mara ngapi hapo).

Ukiacha hilo, ukiichukua Mbuga ya Wanyama ya Serengeti (14,763 kilometa za mraba) na ukaenda kuipachika katika nchi ya Uswisi, mbuga hii itajaza theluthi ya nchi ya Uswisi.

Hapo bado sijakutajia Hifadhi ya Wanyama ya Selous yenye eneo la kilometa za mraba 44,800. Yaani kwa kifupi nchi yote ya Uswisi ni ndogo kulinganisha na hifadhi ya Selous.

Hapo sijataja maeneo mengine yaliyobakia...Upo?????
 
Kama Mbatia ni kama Mulugo aliysema tanzania ni Tanganyika plus Zambia, basi wewe ni sawa na Mheshimiwa Ja Pipo aliyesema kwanye kampeni zake kwamba akichaguliwa mbunge, atawajengea wanafunzi "dictionary za kuigwa" akimaanisha maabara.

Mbatia amesema ya pili kwa vivutio wewe unasema ya kumi kutembelewa. Huoni kwamba kwa hapo tu umeshamuunga mkono Mbatia? Kwamba kuna under utilization ya resources na opportunities? Kwamba kwa vivutio hivi, kama kungefanyika jitihada katika nia na weledi ingeliweaza kuwa wa kwanza kutembelewa?

Ninaona tofauti kubwa sana kati ya elimu ya Mbatia na ya kwako ambayo umekariri habari za kufikiria nje ya sanduku wakati hata application yake huijui. wewe ndiye ulitakiwa kuona nje ya sanduku kabla hujajichora hapa kwamba wwe ni product ya Udom, big results sasa sasa.!.

Tatu jifunze kuwaza upeo wako kabla hujatukana watu kwa sababu unaweza kupata aibu kubwa kama hii uliyoipata hapa kwamba wewe ndiye mburura haswa!.

Mbatia Follower...
So ni kweli Uingereza ilihama Kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari 1948?
 
Mbatia Follower...
So ni kweli Uingereza ilihama Kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari 1948?

We naona unatoka povu tu hapa huna hoja,ya kama ni bondia,hujakaa vizur umepigwa ya pua mara mdomoni mara ute huo unakutoka,
huna budi kikimbia,
 
Yeye anaongelea vivutio wewe unaongelea kutembelewa.

Hebu weka sawa hapo.

Hata hivyo, ukishakuwa UKAWA akili zako haziwezi kuwa sawa. Kutaka kuhatarisha amani ya nchi iliyopiganiwa kwa miaka mingi ni laana kubwa.

uGIMBI wa AMANI ndio mnaowalevyesha watu wasio jitambua yaani Nyie mnakwibia NCHI tukiwamulika na KARABAI mchana mnajificha kwenye KOTI la AMANI mcdhani wote cc ni mapimbi,,,!!
 
Kama wewe umejaa bitterness na huwezi kukubali unapoambiwa hata ukweli, basi una matatizo kuliko nilivyodhani. Nimeongelea habari ya utalii, umeshindwa ku counter,,sasa unataka nizungumzie suala ambalo sikuhitaji kuliongelea kwa sababu haikuwa point of my interest in your article. Utafikiri mswahili bwana!. Du.. nenda shule dogo, hauko informed vizuri. Utapata faida ukiwa na mtazamo wa majadiliano na si huu mtazamo wako wa ubishi tu!. Hii hapana.

Mbatia Follower...
So ni kweli Uingereza ilihama Kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari 1948?
 
Wakuu, Politicians ni watu wa maneno mengi.
Kwa waliomsikiliza Mbatia kwenye kipindi cha Dakika 45, jana atanielewa zaidi.

Mbatia alizungumza mambo mengi sana kuhusu uchumi as long alikuwa anasimama kama Waziri Kivuli wa Fedha..

Kwanza alianza kusema Tanzania ni nchi ya pili Duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya Utalii kitu ambacho si cha kweli..
Kwa Africa tu, Tanzania inashika nafasi ya Kumi kutembelewa na watalii kwa takwimu za 2013 kutoka (UNWTO)
United Nations World Tourism Organization..

Kama sisi ni wa pili Australia na Switzerland ni za ngapi?

Hapa lazima tufikirie nje ya box..

Mbatia aliongea Uongo mwingine aliposema
Uingereza ilihama kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari (Feudalism to Capitalism) mwaka 1948...!!

What is this? Anatofauti gani na Mulugo aliyesema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Visiwa vya Zimbabwe na Pemba?

Wanasiasa lazma wawe makini hasa wanapo Ongea kwenye Vyombo vya habari ambapo Watu wanafuatilia,

kijana, wingi wa vivutio vya utalii haupimwi kwa wingi wa watalii wanaoingia nchini! ni kweli Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi lakini watalii ni wachache!
kutembelewa na watalii wachache haimaanishi kwamba, hatuwezi kuwa nchi ya pili kuwa na vivutio vingi. bali ni ubovu wa utekelezaji wa sera ya utalii!
 
Na Hapa Tumeongeza Kivutio Kingine, Kutana Na Mtu Anaeandika Kitu Asichokijua.
Nakumbuka Marehem Mama Alipendelea Kusema Usemi Huu
"kama kuongea ni mali basi kunyamaza ni zaidi"
Maana ukinyamaza watu hawatajua kama unaakili ama hauna.
 
Mwanamke anaweza kuwa Mrembo na bado rate yake ya kutongozwa ikawa ndogo sana compared na Mwanamke mwingine aliyemzidi urembo.
Sasa wewe Mulugo kiwatengu unajichanganya ulembwende na kutongozwa.
Sasa wewe na Mbatia nani Mulugo hapa ?
*
Sana sana Mbatia alitaka kupnesha kuwa Pamoja tuna vivutio vingi lakini hatupati watalii wengi,na hili ni tatizo
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi ni poyoyo kweli Mbatia anazungumzia vivutio huyu anazungumzia idadi ya watalii du poyoyo kweli
 
Serikali yetu tukiiambia walimu ni muhimu hawaelewi. Naomba viongozi wa Wizara ya Elimu wapitie huu uzi ile waone ualimu ulivyo mgumu na wa kujitolea. Aisee! Yaani huyu jamaa bado anaendelea tu kushikilia uzi wake licha ya ufafanuzi wa Wakuu ulipitiliza. So sad.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom