Kukatika kwa umeme Tabata

Kukatika kwa umeme Tabata

Amakando

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
158
Reaction score
30
Wadau,

Tangu juzi imekuwa kawaida wakazi wa Tabata jijini Dar kulala bila umeme. Hii imejirudia tena saa hizi eneo hili hakuna umeme kabisa.

Tafadhali yeyote mwenye kuweza kutujuza endapo kuna katizo la umeme au mgao tafadhalli.
 
Hali ni tete Mkuu huku Kitunda Kivule hakuna toka juzi ile ulivyoanza kusumbua,Hili shirika lini litakufa aisee?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ma luku inaendelia kukatika hata kama hamna umeme dahhhh nishiiiiida
 
kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi.
 
Sijui kwenye makazi ya watu kuna logic gani kuwa na umeme mchana kisha usiku hauopo.
 
kulikuwa kunatatizo kwenye transfoma iliyopo maeneo ya kipawa, tatizo lilitokea saa saba usiku wa juzi.

Kiongozi mie.sina ugomvi na hili shirika kama angalau tungekuwa tumejulishwa ili tujipange lkn kwa stahili hii wanatutia hasira sana.
 
huku Arusha hatuna shida kabisa na umeme siku hizi.
 
Tanesco nimewauliza wanajibu eti transfoma ya kipawa ina shida...sasa kipawa na tabata wapi na wapi..nimeamua kuwasha kitabari na ni mwendo wa kupapasa tu wife
 
Back
Top Bottom