Kusema tutaandamana kwa kibali au kutokuwa na kibali ni halali? Nchi itakuwa ya kijinga kila jambo unalofanya hata kama ni hatari utaacha kulisemea,utakuwa ni uzezeta wa hali ya juu,angalia kijana usitumike kipumbavu kusupport ujinga
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana
nimesikia kijiweni mwanachama wa chadema akitamba kuwa safari hii polis watakoma, kwani wakati wa maandamano hawatajikusanya sehemu moja. Maandamano yatafanyika kila sehemu kivyake kuanzia vijijini huko huko na mijini kila msingi utafanya maandamano walipo kwa muda huo huo nchi nzima waone kama polisi wana ubavu wa kuwakabili.
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
kweli maccm ni ujinga mtupu, ndo maana nchi yarudi nyuma. Unajua sheria wewe? Sheria iko hivi: Polisi hujulishwa tu siku, time na mahali pa maandamano na wao kazi yao ni kutoa ulinzi. Hakuna mahala sheria inawapa mamlaka polisi kutoa vibali vya maandamano. Tena namuomba mbowe amuulize huyo aliyemwita amuonyeshe kipengele cha sheria! Inasdikitisha polisi wetu hawajui hata sheria.
Akina chagonja wanasema wanavyosema ni kwa sababu polisi wetu ni wavivu katika kila kitu.
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
DCI Manumba na Chagonja?!
Hivi huyu Manumba bado anapiga kazi au ameamua kumshauri mh.Mbowe? Ila watu wengine wanalazimisha uMandela, hebu tusubiri tuone.Wewe Mwehu na Punguani DCI(rtd) Manumba amemuita Mbowe Nyumbani kwake ?
Halafu haya ndio ma think tank ya Magamba
Jamani manumba bado yuko ofisini? Na huyo chagonja bado kustaafu?DCI Manumba na Chagonja?!
Damu zetu anataka zimwagike amwage zakeNimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
DCI Manumba na Chagonja?!
Hivi hamjui kusoma nyakati kuwa CDM hamtakiwi na WaTZ wameshawaona mnataka kuleta vuruguKamanda Mbowe, Lipumba, Mbatia tunawasubiri mtoe Amri, huku Arusha tuko tayari