Recent content by amaizing

  1. amaizing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is sex overrated?

    Mbagala to Gongo la mboto .lazima kimekukuta kitu huko
  2. amaizing

    JamiiForums Tanzania Dunia iliishia 1999

    Aiseeee,[emoji1732][emoji854]
  3. amaizing

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kula Mkeka kwa Muhindi

    Woiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. amaizing

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Nipo Iringa na sijawahi kusikia hii issue Na nimeuguza wagonjwa hapo na mimi kutibiwa pia [emoji848][emoji848][emoji848]
  5. amaizing

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mtu kuchukua pesa NSSF kabla ya kuacha kazi?

    Vipi mbona macho kodo??
  6. amaizing

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mtu kuchukua pesa NSSF kabla ya kuacha kazi?

    Kwa uzoefu nilionao wa kufanya kazi private kwa mikataba... Pesa ya mafao unayoweza kuchukua NSSF ni 1. Fao la uzazi 2. Fao la kukosa ajira/kusitishwa ajira Ila hii ni kwa wale ambao wana elimu ya certificate sina uhakika sana kwa diploma ila kwa ngazi ya degree na kuendelea inasumbua sana...
  7. amaizing

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Duuu, mwaka mpya mambo bado ya zamani
  8. amaizing

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Makapuku forum since April 2016 Kitambo sanaaaa
  9. amaizing

    JamiiForums Tanzania App zinazotoa mikopo mitandaoni zina riba kubwa sana, ukichelewa rejesho wanatuma SMS kwa namba zote ulizowasiliana nazo

    Woiiiii Nimecheka sanaaa Mdogo angu kakopa huko, wamedukua namba ya mume wake wakatuma msg ya kumdai pesa Shemeji anataka kujua pesa imeenda wapi na kwanini dogo kakopa bila kumtaarifu Aisee hizi application za kuzikimbia ntakomaa na MGODI tu wa vodacom
  10. amaizing

    JamiiForums Tanzania Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

    Hapana hapa tunamuongelea Christopher Mwakasege na sio huyo Mwakasrge mlevi wa konyagi
  11. amaizing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

    Bada hujasema, mpaka usemeeee[emoji23] Kijana ulilazimishwa kuoa? Je uliyemuoa mnafahimiana vizuri???
  12. amaizing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumfanyisha mkeo kazi za ndani ilihali na yeye ni mwajiriwa

    Ni kweli wanaume wengi sio msaada kwa wake zao, wote tunafanya kazi za kuingiza kipato cha familia, wote tuna pay bills but when comes to kazi za nyumbani tuna achiwa kina sie Sasa maisha sio magumu sana na hatutakiwi kuchoka sana[emoji1] Nguo zenu zitafuliwa kwa washing machine Wali utapikwa...
  13. amaizing

    JamiiForums Tanzania Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Uko sahii mkuu, Watoto wa sasa wanaishi katika ulimwengu mgumu sana..wazazi tujitafakari na tuchukue hatua
  14. amaizing

    JamiiForums Tanzania Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

    Joe Thomas, Bow wow, Nelly, mwamba TI
  15. amaizing

    JamiiForums Tanzania Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

    1.Ngwair 2. Mwana F 3. Prof J
Back
Top Bottom