Ndio unaweza kuchukua japo inategemea aina ya kitita cha mafao unachohitaji mfano mafao ya uzaziHabari wakuu, ninauliza naomba nijue, ninahitaji pesa nichukue NSSF za akiba yangu na kazi bado ninaendelea Je, inawezekana? Kazi ni private sector.
Ndio unaweza kuchukua japo inategemea aina ya kitita cha mafao unachohitaji mfano mafao ya uzazi
ila kama utahitaji kupata pesa yako ya NSSF kupitia fao la kukosa ajira basi itabdi mwajiri wako akupe barua ya ukomo wa ajira au kukuachisha kazi ili uweze kuanza hatua za kufuatilia mafao yako huku akiwa anakulipa mshahara au allowance bila ya makato yoyote ya serikali(Japo kidogo kuna kausumbufu hapa)
Labda uziibe..Habari wakuu, ninauliza naomba nijue, ninahitaji pesa nichukue NSSF za akiba yangu na kazi bado ninaendelea Je, inawezekana? Kazi ni private sector.
Prosperity96 said:Na je kama hutaki kuacha kazi je? Mwajiri hawezi kukupa barua unachukua pesa yako na ukaendelea na kazi hiyo hiyo?
Ngumu labda ofisi iwe ya baba yako.Prosperity96 said:
Ndio unaweza kuchukua japo inategemea aina ya kitita cha mafao unachohitaji mfano mafao ya uzazi
ila kama utahitaji kupata pesa yako ya NSSF kupitia fao la kukosa ajira basi itabdi mwajiri wako akupe barua ya ukomo wa ajira au kukuachisha kazi ili uweze kuanza hatua za kufuatilia mafao yako huku akiwa anakulipa mshahara au allowance bila ya makato yoyote ya serikali(Japo kidogo kuna kausumbufu hapa)
JAPO INATEGEMEA sasa na utajiri wa mwajiri wako kukusaidia katika hilo,maana akikaa vibaya anweza kupata kesi ya Fraud hapo
Kwa uzoefu nilionao wa kufanya kazi private kwa mikataba...
Pesa ya mafao unayoweza kuchukua NSSF ni
1. Fao la uzazi
2. Fao la kukosa ajira/kusitishwa ajira
Ila hii ni kwa wale ambao wana elimu ya certificate sina uhakika sana kwa diploma ila kwa ngazi ya degree na kuendelea inasumbua sana
Kwanza utapewa asilimia kadhaaa kama sikosei ni 36% ya mshahara uliokuwa unalipwa, utapewa hiyo pesa kwa miez sita baada ya hapo majibu yao ni subir upate ajira ili pesa uje uchukue uzeeni..
Kulikuwa na ujanja flan wa kutoa pesa kwa watu wa elimu ya juu, ila sasa naona kama huo ujanja umeshtukiwa na pesa hazitoki tenaaaaa
Sasa kama bado upo kazin aisee endelea kupambana ndugu mtoa mada
Vipi mbona macho kodo??
Inauma SanaKwa uzoefu nilionao wa kufanya kazi private kwa mikataba...
Pesa ya mafao unayoweza kuchukua NSSF ni
1. Fao la uzazi
2. Fao la kukosa ajira/kusitishwa ajira
Ila hii ni kwa wale ambao wana elimu ya certificate sina uhakika sana kwa diploma ila kwa ngazi ya degree na kuendelea inasumbua sana
Kwanza utapewa asilimia kadhaaa kama sikosei ni 36% ya mshahara uliokuwa unalipwa, utapewa hiyo pesa kwa miez sita baada ya hapo majibu yao ni subir upate ajira ili pesa uje uchukue uzeeni..
Kulikuwa na ujanja flan wa kutoa pesa kwa watu wa elimu ya juu, ila sasa naona kama huo ujanja umeshtukiwa na pesa hazitoki tenaaaaa
Sasa kama bado upo kazin aisee endelea kupambana ndugu mtoa mada
Hii itakupotezea ajira, ni crime! Watu wwnacheza Sana hizi, deals, lakini ikibumburuka, umeumiaNa je kama hutaki kuacha kazi je? Mwajiri hawezi kukupa barua unachukua pesa yako na ukaendelea na kazi hiyo hiyo?