Recent content by Am_tunnechi

  1. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Status yangu

    Wabongo miyeyusho sana alafu kuview ndiyo wa kwanza. #Hallelujah
  2. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania Paypal Tanzania

    Sign up account ya Paypal palepale ndani ya Mpesa App, tumia details zako tu(gmail na namba iwe vodacomTz) #Hallelujah
  3. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania Paypal Tanzania

    Vodacom wamelink up na Paypal, kama wewe ni mtumiaji wa ile app ya M-Pesa utaona kuna section ya kulink up account yako ya Paypal na Mpesa number yako. #Hallelujah!!!
  4. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Kwanini aliuza nyumba ya jamaa?Kwanini alivyoachiwa mara ya kwanza kwa dhamana alitoweka? Kwanini alikuwa anatumia simu ya marehemu kuwataarifu ndugu(akijifanya kama marehemu akiwaambia wasimtafute atarudi)? Yule shetani ni muuaji asiyefaa hata katika jamii, Period. #Hallelujah!!!
  5. Am_tunnechi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Ushajua ni mtu ana familia yake tena analelewa na mkewe bado unataka kujua nini kingine? Zinduka msichana ungelikuwa dada angu ningekuzaba makofi(jokes). Kwa maelezo yako inaonekana akija kukudanganya tena utamkubalia, kweli dunia hadaa. #Hallelujah!!!
  6. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

    It’s raining cats and dogs. #Hallelujah
  7. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    02:55 Radi zinakung'uruma vibaya vibaya #Hallelujah
  8. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    02:34 Vilabu ya uingereza vinalala na viatu leo. #Hallelujah
  9. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    00:05 #Hallelujah
  10. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    02:50 #Hallelujah
  11. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania Hakuna majini, wale wote wanaoanguka mapepo kwenye maombi na kuanza kuongea lugha zisizoeleweka ni mapandikizi/planned game

    Kama jambo halijawahi kukukuta hauna haja ya kubisha wala kuwapinga wanaosema wameshakumbana nalo. Ulimwengu una mambo mengi sana yaliowazi na yaliojificha, hatuwezi kujua wala kuwa na ufahamu na kila jambo lililopo ulimwenguni. #Hallelujah
  12. Am_tunnechi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    01:00 #Hallelujah
Back
Top Bottom