Recent content by Am the One

  1. Am the One

    JamiiForums Tanzania TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika

    TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
  2. Am the One

    JamiiForums Tanzania How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

    Tuna tukana matusi kimoyo moyo tu..
  3. Am the One

    JamiiForums Tanzania How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

    MMH...
  4. Am the One

    JamiiForums Tanzania Kero ya Mitandao ya Kijamii

    Changamoto kubwa iliyopo kwa sasa karibu kila mtu amekuwa mwanahabari. Kila mtu anaripoti matukio yanayoendelea duniani, kila mtu ni mchambuzi. Inaboa mno
  5. Am the One

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lini ni Ukomo wa Wabunge Mawaziri na Rais ili kuingia katika uchaguzi mkuu?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Naomba kujuzwa, Wabunge, Mawaziri na Rais bado wanatumikia viti vyao ilhali wapo kwenye kuomba kura kwa wananchi? Kwa sababu bado huko kwenye baadhi ya majukwaa wanaitwa na kutajwa kwa zile nafasi zao. Mf: kama jana kwenye tukio la club ya simba.
  6. Am the One

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Hawa viumbe pasua vichwa sana mm nilikuwa natuma pesa za mahitaji anatumia kwa matumizi yake anakupa list ya mahitaji mfano shule unatuma pesa ukienda kumuona mtoto unakuja hana viatu vya shule wakati pesa ulituma.
  7. Am the One

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Ukitajwa jina lako shukuru sana, utaskia hivi wewe mbwa.
  8. Am the One

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Tatizo la wababa kutelekeza watoto bila kuhudumia lipo. Lkn kwa uzoefu wangu kidogo baadhi yao shida kubwa ipo kwa wanawake, unakuta mwanaume unapambana huna ajira ya kueleweka unajitahidi kile kidogo unachokipata unampatia mama kwaajili ya mtoto, bila kujali wala kuthamini unachompa unakutana...
  9. Am the One

    JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Rejea miaka 15 iliyopita kabla ya mzee wa Msoga alafu unganisha doti.
  10. Am the One

    JamiiForums Tanzania Amini-Usiamini katika orodha ya hospitali 20 bora duniani hakuna hospitali hata moja kutoka bara la Afrika

    Dah ila madini yetu na rasilimali zingine ndio zinawapaisha kwa ujinga wa wachumia tumbo wachache
  11. Am the One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Dah wanawake wanakurupuka sana aisee
  12. Am the One

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mzee unajua CMB 1 Zinakaa Brenda PC ngapi na gharama ya kusafirisha hiyo CBM 1 ni kisasi gani? Kodi ya frem na store ni bei gani. tafuta majibu ukipata rudi hapa tupatie marejesho pia.
  13. Am the One

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mkuu jitahidi siku moja uagiza walau tu bidhaa za milioni 50 alafu mzigo ufike bandarini ufanye clearence utoe hapo upeleke store then upeleke dukani NDUGU UNAJUA KELELE ZA WATU WA KARIAKOOO ATI WACHINA WANAFANYA KAZI ZA WAZAWA HAKUNAAAA Mkuu jitahidi siku moja uagiza walau tu bidhaa za...
  14. Am the One

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

    Dah NI RANGE ROVER SPOT 2012 had 2017 Na BMW GT 3 series 2014 had 2018
  15. Am the One

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Dah hii iliwahi mtokea jamaa yangu.. noma sana
Back
Top Bottom