While the idea of a nonchalant partner might initially seem appealing in certain ways, it's important to consider the potential benefits with a balanced perspective, especially in the context of a long-term, fulfilling relationship. Here are some potential benefits, keeping in mind that these...
Ipo hivi kuna cream zimedizainiwa kwenye Ulimwengu wa giza na kuletwa katika dunia hii ili wanawake wapake katika maziwa yao na mapaja lazima uwatamani na kupagawa.Na mwisho wa siku utaishia kwenda kuzini au kama ni domo zege utaenda kupiga punyeto.
Cha msingi oa kama huwezi sali kila siku alafu...
Habarini wadau wa tech jamii Forums napenda kuwatakia maisha mema.
Kuna hii simu inaitwa So what S25 Ultra nimejaribu kuiangalia na imenipendeza Sana maana Ina muonekano sawa na Samsung S25 Ultra kuanzia Camera mpaka display.
Baadhi ya specs zake ni hizi:
1 Inakuja na So what S pen kama ya...
Huu ni ukweli mchungu
1) WATAFUTE KWANZA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAO
Ni vema sana ndoa ikakukuta ukiwa tayari umeshaujua kusudi la MUNGU kwenye maisha yako maana itakusaidia kumpata mwanamke atakayekubali maono yako na atakayekuwa tayari kuendana na kile ulichokibeba kwa ajili ya kusudi...
Habari watanzania humu ndani.Nimekuwa nikiskia Kwamba UTT AMIS inaruhusu kuwekeza Fedha Kwa riba nzuri tu ila sijui process za kujiunga na kutumia.Naomba msaada.
Uzi umeisha.
Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.