Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.

Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.

But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.

Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele. Avue namwangalia. Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.

Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.

Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
U are welcome
 
Ni bikra?
 
Ma Mshuza tuomeona chakula kinapoenda.. 😉
 
Mimi hapo kwenye kulamba lamba lipsi bora mniue ila kuacha siwezi...

Kingine mi siwezi kula ugali hi seriously au nile madude magumu magumu mfano juz nilikua kwa rafiki angu kufturu nashangaa futari kuna miogo mara magimbi an ilinishinda nikaishia kula tambi tuu tena tambi zenyewe kama hazina mafuta mi sili..

Hi kauli ya kusema wanaume sijui tuteseke tuu hapana kwa kweli
 
Nipo hapa nakula kama mchwa ila kitambi sina lips silambi nipo serious in public lakin siko serious na maisha nigee mdogo wak uyo nimchachue kama chachandu
 
Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.

Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.

But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.

Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele. Avue namwangalia. Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.

Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.

Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
Ukimpta wa hivyo tujulishe ili tuone kama umepatia
 
Weka picha yake tumuone,chura iwepo lakini siyo fukushima.
 
Back
Top Bottom