Recent content by alumn

  1. alumn

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Huoooooooo😁
  2. alumn

    JamiiForums Tanzania Kupata tunda ni akili tu

    Nakazia
  3. alumn

    JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Mwenye maisha kila mtu na njia yake ya kusaidika. Mwenzio katuma email kajibiwa. Haina maana na wewe ukituma utajibiwa. All in all ushuhuda ni mzuri ila kila mtu na njia yake. Pambana mkuu
  4. alumn

    JamiiForums Tanzania Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

    Sasa mkuu wachumi tutaonekanaje na mchango wetu utapatikanaje na ilihali hatumjui mtu yeyote kwenye utawala. Tupo tunazeeka tu na madini yetu
  5. alumn

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ingebaki tu kua Wakatoliki katika imani. Na sio Wakristo
  6. alumn

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Mwaka 2018 nilinusulika kuangukiwa na Lori almaarufu semi Trela lililokua limefeli brake. Itoshe tu kusema, Mungu ni mwema
  7. alumn

    JamiiForums Tanzania Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Una milioni kumi kwenye gari, then unaacha mlango wazi ili uende kula maeneo ya stand ya mbezi? Mpaka hapo upelelezi imekamilika ya kua taarifa ni ya uongo.
  8. alumn

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumeshakubaliana hii arsenal ya sasa sio ya zamani. Wasiwasi unatoka wapi
  9. alumn

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Basi Mkuu tusije leta pengine ubishani kwenye neno la Mungu. Sote ni wa Mungu. Asante kwa neno
  10. alumn

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Asante Mtumishi kwa andiko zuri. Lakini naomba nitofautiane na wewe kidogo kwa namna nzuri ya kuelimishana kuhusu neno. Ni kweli kabisa Maombi ndio muhimili na uti wa Mgongo wa Mwamini. Lakini sio sahihi kwamba kila Mwamini lazima anene kwa Lugha ndipo ambapo apate matokeo tarajiwa. Ingawa...
  11. alumn

    JamiiForums Tanzania CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Yaani kweli unaona sasa unakufa na una nafasi ya kutubu. Umuite Kiongozi umwachie wosia wa namna ya kuendelea na majukum na uache njia ya kutengeneza njia yako huko uendako? Inashangaza sana.
  12. alumn

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii game ipo open kwa yeyote. Man city anafungika na liverpool anafungika. Suala ni nani atatumia nafasi zake vyema
  13. alumn

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Pole sana Ndugu. Utapona
  14. alumn

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Kutoka 15:3
Back
Top Bottom