Recent content by aluba-k

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo tunduru, nije njombe,irnga au mbeya idara ya secondary 0684033233
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    yanga bhana! eti ooh hli ni bonanza tu!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

    Naipenda simba mshabiki wa damuuuu! mwenzenu sitoihama, simba tunatishaaaaaaaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    aisee wengi mmeponda GNLD sasa mtupe altenative pia mana kwa wengne sie hao ni wakombozi wetu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    mmmh!huwa najiuliza sana mbna kila wakat huyo ahmed rajab anaandka abt nyerere? this is not the first time naona hili, nadhani ana taaluma kubwa sana but bado hajawa objective ktk uandshi wake ni subjective sana... ajarb kuwa objective mana habari gani isiyo na mizania?...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Soko la asali ndani na nje ya Tanzania

    Nashukuru kwa ushauri wako aisee, nitaufanyia kazi kama nikiw na uzma mwakani ntafanya hatua hzo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Soko la asali ndani na nje ya Tanzania

    Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili, natangulza shukran zangu kwenu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania mwalimu wa kubadilishana nae

    Natafta mwalm wa kubadlshana naye nipo idara ya sekondar tunduru.. mim niende songea, iringa, njombe au mbeya ..mawasliano 0684033233. Natanglza shukran.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka nacheka sana

    mamaaaa!mbavu zangu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Test yourself

    i got non of 'em
  11. A

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    ningekuwa na 15 aisee
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hii Imenigusa Sana

    woow! i got a lesson from the story thank u very much!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    hakika mfuko huu ni mkombozi, ukizingatia kuwa maradhi yanaweza kukupata wakati wowote, hvyo unakuwa una uhakika wa kupata tiba tatizo ni utekelezaji wake ni mgumu sana as long as watu wanakosa huduma pa1 na kumiliki bima za afya na pesa zetu wanachukua that is not fair!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi nipo tunduru- marumba! netwrk inazingua sana wakat mnara wa voda upo aiseeee! ni mateso uktaka kuwasliana hadi ujiposition mbali na makazi ya watu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    sorry wadau! naona wadau mnatumia kitu inaitwa PM! nielewesheni mana cjui ninawezaje kuitumia
Back
Top Bottom