Soko la asali ndani na nje ya Tanzania

aluba-k

Member
Nov 2, 2014
16
0
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili, natangulza shukran zangu kwenu.
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,603
2,000
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili, natangulza shukran zangu kwenu.
Kwa biashara za vyakula inabidi uwaone akina TFDA na binamu yake TBS wako pale Ubungo,pia inabidi uwe na nembo yako ya biashara, kwa habari ya masoko,anza na hawa jamaa 0784295208. Hawa wanasindika asali. Kuwa mvumilivu ili kupata soko la asali,sijui kama Honey King pale Kibaha kama wanachukua toka kwa watu binafsi.
 
aluba-k

Member
Nov 2, 2014
16
0
Nashukuru kwa ushauri wako aisee, nitaufanyia kazi kama nikiw na uzma mwakani ntafanya hatua hzo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom