Recent content by ALU255

  1. ALU255

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

    Mawazo ya kivivu haya, Ili kwamba usipofanikiwa ulaumu wazazi hawakukuachia mali
  2. ALU255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya haya kwa mume wako

    Mke nitakayekuoa naomba uwe umsoma huu uzi
  3. ALU255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaelewa nlichomkosea. Amenichanganya sana Wadau

    Wewe ndo mwanaume halisi sasa sio wale wanaopapalikia videmu vikijileta geto bila kujua vimekujaje
  4. ALU255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli, mpenzi wangu alikuwa anasagwa

    Wanawake wanapitia mengi sana wakisema wayaweke wazi yote kuna watu watawaacha wake zao
  5. ALU255

    JamiiForums Tanzania Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

    Wataje
  6. ALU255

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    Scan ile ambayo namba yake uliijaza wakati unajaza fomu
  7. ALU255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kufanikisha kuhama chuo?

    Kama upo dar nakushauri uende TCU ila kama upo mbali jaribu kuwasliana na hicho chuo unachokitaka kama katka hiyo kozi nafasi bado ipo then tumia zile code Ku confirm baada ya hapo wapigie muce wakutoe kwenye chuo chao maana hapo utakua umedahiliwa vyuo viwili
  8. ALU255

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    Kama marekebisho fanyeni kabisa ili wakiruhusu mfumo una upload Tu,
  9. ALU255

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    Uli upload kikiwa kimeshapigwa muhuri?
  10. ALU255

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina wanaotakiwa kusahihisha maombi ya mkopo 2019/2020

    ORODHA YA MAJINA WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MIKOPO 2019/2020 HESLB imetoa orodha ya waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa siku nne kuanzia kesho Jumatatu tarehe 30 Septemba 2019 ambapo pia mwongozo wa jinsi ya kufanya...
  11. ALU255

    JamiiForums Tanzania TCU yatoa majina ya waliopata vyuo raundi ya kwanza ya udahili

    Hata Mimi nimekua nikitafuta link yao kwa muda mrefu bila mafanikio naona akaunt hazifunguki
  12. ALU255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

    Miss unatafuta
  13. ALU255

    JamiiForums Tanzania Nilisoma half comb nawezaje kwenda kusomea software engineering

    Huwa Wanapewa vyote viwili kila kimoja kwa wakati wake
  14. ALU255

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Siasa mchezo mchafu haina tofauti na kuchimba shimo usiku af Mchana ukaja kulifukia na watu wakakushangilia mkombozi
Back
Top Bottom